Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
It is all about wanaohusika na ulinzi wa rais kupiga hela zaidi. Hakuna lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazuzu kama nyie mlipokuwa mnaona ulinzi kama huo kwa Magu mkawa mnasema ni udikteta!Hapo walinzi wa rais wanamtia hofu ili waongezewe budget ya kumlinda chifu Hangaya
Ushamba tu unawasumbua, kama kuna hatari , .............. nimeshindwa kumaliziaUlinzi wa mama si wa kawaida kwa sasa chopa tatu angani zikisindikiza msafara wa magari wa mama, gari isiyopitisha risasi, msafara mrefu wa magari 102 .
jammer vehicles pia ipo ktk msafara..
Na wewe ajiri mashoga wakulindeMbona Mbowe aliajiri makomandoo wa jeshi kumlinda?
Dunia ya sasa siyo mahali salama sana.
Mkuu, hakuna watu nawadharau kama wana chadema kwa sasa!Mazuzu yalikuwa yakiongea hovyo kuhusu Ulinzi wa JPM ajabu Ulinzi wa Samia ni zaidi ya wa JPM na yamejikausha kama hayaoni!
Sawa na yeye sasa korodani zake zinaminywa huko kuzimuWapumbavu,jemedari aliminya korodani zao kisawawa
Tulipe basi mshahara bwana matako,màgufool hakuwa tu dikteta bali mgonjwa wa moyo & akiliUtaahira kazi sana
Mazuzu mmeanza kuumbukaAnawahofia Push Gang
Kwenye nchi ya amani kama Tanzania,tena Rais tunaeambiwa anapendwa na wananchi wake, hayo ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.Ulinzi wa mama si wa kawaida kwa sasa chopa tatu angani zikisindikiza msafara wa magari wa mama, gari isiyopitisha risasi, msafara mrefu wa magari 102 .
jammer vehicles pia ipo ktk msafara..
Mabavicha yana ugonjwa wa ukosefu wa akili!Wewe umechelewa kujua tuu toka zamani ulinzi wa Samia ni kama wa Magufuli sema humu huwa kuna ugonjwa wa kufata mkumbo
Haya majamaa nayadharau sana siku hiziChadema ni mashetani yanayotembea
Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais,
mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu,
wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema,
yani Chilema msafara wake ukiwa na gari 10 na wa mama samia iwe hvyo hvyo
huu ni upumbavu
mwenyekiti wa Chama kaokota wapi watu wenye akili ndogo namna hii?
Jeshi na Tiss wanawajibu wa kuhakikisha Taasisi ya uRais inalindwa kwa kadri watakavyoona inafaa
kinacholindwa hapo ni Taaisisi ya Urais maana yake hata samia akitoka kwenye hicho kiti hatalindwa tena hvyo
mmeniudhi sana kwa vi mada uchwara vya kijinga,
tena huo ni msafara na ulinzi mdogo kwa Rais Tiss ongezeni zaidi kwa kadri itakavyofaa
muda si mrefu mtaona wale wadada wanafungua twitter space kujadili msafara wa Rais
mlitaka mlindwe nyie na familia zenu?
asietaka akanywe sumu ya panya
Kwa hiyo na wewe ulikuwa mjinga kama kina mmawia?Hata mimi nimeshangaa, nilijua mambo ya chopa yameondoka na mwendazake kumbe bado yapo, na huo msafara wa magari yote hayo wa kazi gani kwenye taifa masikini kama letu?
Naona kila awamu inarudia makosa yaleyale, ngumu sana kupiga hatua za maendeleo, na yule kichaa wa twitter anasupport huo msafara wa Samia amesahau juzi tu alikuwa akiupinga msafara wa mwendazake.
Ona mpuuzi mwingine huyu naye, Sabaya kesho anapanda jukwaani tenaMabavicha yana ugonjwa wa ukosefu wa akili!
Yanafikiri rais anajipangia yeye ulinzi.
Yani hata Lisu alikuwa na akili kama hizi
Marehemu anakuchapa hata baada ya kufarikiTulipe basi mshahara bwana matako,màgufool hakuwa tu dikteta bali mgonjwa wa moyo & akili
Nimeona mmemjengea kakaburi ka kisasaMarehemu anakuchapa hata baada ya kufariki