Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

Hapo walinzi wa rais wanamtia hofu ili waongezewe budget ya kumlinda chifu Hangaya
Mazuzu kama nyie mlipokuwa mnaona ulinzi kama huo kwa Magu mkawa mnasema ni udikteta!

Utaahira kazi sana
 
Ulinzi wa mama si wa kawaida kwa sasa chopa tatu angani zikisindikiza msafara wa magari wa mama, gari isiyopitisha risasi, msafara mrefu wa magari 102 .

jammer vehicles pia ipo ktk msafara..
Ushamba tu unawasumbua, kama kuna hatari , .............. nimeshindwa kumalizia
 
muacheni alindwe jmn,ili amalize 4 yake salama ,salmini!!
 
Wewe umechelewa kujua tuu toka zamani ulinzi wa Samia ni kama wa Magufuli sema humu huwa kuna ugonjwa wa kufata mkumbo
 
Mazuzu yalikuwa yakiongea hovyo kuhusu Ulinzi wa JPM ajabu Ulinzi wa Samia ni zaidi ya wa JPM na yamejikausha kama hayaoni!
Mkuu, hakuna watu nawadharau kama wana chadema kwa sasa!

Yani toka ile 2015 walipomfanya gwajima kuwa mshenga wao wa kumleta EL chamani na baadae wakamfanya Amsterdam kuwa mwanamikakati wa kumpleka Lisu ikulu, hata nikiona mshati yao tu naona kama nimeona mijusi tu
 
una lengo gani na Rais? kwanini unahoji juu ya ulinzi wake?
 
Ulinzi wa mama si wa kawaida kwa sasa chopa tatu angani zikisindikiza msafara wa magari wa mama, gari isiyopitisha risasi, msafara mrefu wa magari 102 .

jammer vehicles pia ipo ktk msafara..
Kwenye nchi ya amani kama Tanzania,tena Rais tunaeambiwa anapendwa na wananchi wake, hayo ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
 
Wewe umechelewa kujua tuu toka zamani ulinzi wa Samia ni kama wa Magufuli sema humu huwa kuna ugonjwa wa kufata mkumbo
Mabavicha yana ugonjwa wa ukosefu wa akili!

Yanafikiri rais anajipangia yeye ulinzi.

Yani hata Lisu alikuwa na akili kama hizi
 
Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais,

mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu,

wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema,

yani Chilema msafara wake ukiwa na gari 10 na wa mama samia iwe hvyo hvyo

huu ni upumbavu

mwenyekiti wa Chama kaokota wapi watu wenye akili ndogo namna hii?

Jeshi na Tiss wanawajibu wa kuhakikisha Taasisi ya uRais inalindwa kwa kadri watakavyoona inafaa

kinacholindwa hapo ni Taaisisi ya Urais maana yake hata samia akitoka kwenye hicho kiti hatalindwa tena hvyo

mmeniudhi sana kwa vi mada uchwara vya kijinga,


tena huo ni msafara na ulinzi mdogo kwa Rais Tiss ongezeni zaidi kwa kadri itakavyofaa

muda si mrefu mtaona wale wadada wanafungua twitter space kujadili msafara wa Rais

mlitaka mlindwe nyie na familia zenu?

asietaka akanywe sumu ya panya


Wewe ni mpuuzi, kila MTU Twitter ni CHADEMA? pumbavu
 
Hata mimi nimeshangaa, nilijua mambo ya chopa yameondoka na mwendazake kumbe bado yapo, na huo msafara wa magari yote hayo wa kazi gani kwenye taifa masikini kama letu?

Naona kila awamu inarudia makosa yaleyale, ngumu sana kupiga hatua za maendeleo, na yule kichaa wa twitter anasupport huo msafara wa Samia amesahau juzi tu alikuwa akiupinga msafara wa mwendazake.
Kwa hiyo na wewe ulikuwa mjinga kama kina mmawia?

Ulinzi anajipangia rais?
 
Mabavicha yana ugonjwa wa ukosefu wa akili!

Yanafikiri rais anajipangia yeye ulinzi.

Yani hata Lisu alikuwa na akili kama hizi
Ona mpuuzi mwingine huyu naye, Sabaya kesho anapanda jukwaani tena
 
Back
Top Bottom