Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

Ni Kundi la vijana linao waonea wivu wanawake.Hawataki wanawake wafaidi mapu.mbu pekeyao.
 
Sasa umeishasema wewe wa kijijini,Dar sio Kijiji,hili ni jiji jombaa!??
Utamaduni hubadirika,wazee wetu walivaa magome,lubega,waliwinda kwa mishare,sasa hv 21st century unataka tuishi kwa mitazamo ya zama za mawe na chuma?
Huko vijijini haya mambo ni mageni,huku town kawaida tu,baba na Binti yake kupiga pensi na kwenda beach!!Dunia ni kijiji
 

Hata kwenu wapo.

 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu kumotola ilikua marufuku kabisa wakati wa makuzi yangu uheheni bi mkubwa akibaini au umebwinzua kidudu utaieleza kamati why so ujibwinzue?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushauri wako ni mwema sana ila nakushauri ujikite zaidi kwenye kilimo cha Mpunga na Viazi tusije tukalala njaa kama taifa.

watu wa Mbeya hampaswi kuwa mitandaoni
Jamaa hata hamu yakilimo ninayo kwani? Mvua ilichelewa na ikakataapema kwahiyo mpunga na mazao mengine hayajafika ndiomaana nashinda humu kuiomba serikali iniajiri ndo plan b iliyopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…