Mussa Ramadhani Mussa
Member
- Jul 30, 2024
- 29
- 59
Tatizo mamlaka ni kama hazioniSheria ichukue mkondo wake
Tatizo la arusha mashoga wengi kwanini hawafanyi hivyo DarHabari zenu wakuu,
Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha.
Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani.
Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya wilaya Arumeru (Sekei) mpaka wakamjeruhi. Na siku mbili nyuma walimpiga kinyozi mmoja kwa fimbo zao sehemu ya jicho mpaka jamaa alikaribia kupoteza jicho lake maana ameumizwa sana.
Nimeskia pia juzi Kati hapa walimpiga kijana mmoja maeneo ya Kijenge nusu wamuue.
Nimejaribu kufuatilia lengo la wao kupita barabarani kwa makundi (idadi ya vijana 200 au 300 hivi) nikaambiwa kuwa wanafanya mambo ya kimila (mfano wa jando na unyago wa KIMASAI) ila sasa naona jamaa wamevuka mipaka maana wamekuwa hatari na hata wakipita barabarani hawataki mtu Mwingine akatize vinginevyo wanamshambulia bila huruma Wala kujali usalama wake.
Nimeona nilete Kero hii maana naona inazidi kushamiri na kuonekana ya kawaida na mamlaka ziko kimya haziwachukulii hatua sasa nashindwa kuelewa iwapo Hawa vijana Wana mandate ya kupiga watu ovyo.
Nawasilisha!
Hata wakiwepo hao wanaume pengine mpo 10 mtaweza kupambana na kundi la watu 300+ wenye Silaha za jadi?Huko arusha hakuna wanaume?
Mimi ni Gen z ndugu yangu na hii mada Haina uhusiano na kilichotokea October 29. Kikubwa ni kwamba kila nchi hii ni yetu sote hakuna Mwenye haki zaidi ya Mwingine. Hawa vijana wa kimasai wanadhani hii Arusha ni Mali Yao ndio maana wanakuwa wakorofiMpigwe hadi muuawe pumbafu, watu elfu 22 plus,wameuawa na serikali haramu, alafu nyinyi mnalia ovyo ovyo
Tufanyeje mkuuTatizo la arusha mashoga wengi kwanini hawafanyi hivyo Dar
Hawa ni Kero sana na wanavimba kwa sababu wanajua ukibishana naye wanakuja kundi kubwa la wenzake wa kimasai kukushambuliaJamaa ni wagomvi sana, hata huku mjini wanauza dawa, wakikusemesha usipowajibu wanakutukana, iko siku watu watapambana nao
Ili wafanyeje? Watu wanapigania haki na Sheria sio vurugu, sasa wewe kwa muonekano wa hoja yako ni kwamba unataka wajitokeze watu Ili wapambane nao, hilo halikubaliki maana ni uvunjufu wa Sheria zaidi.Hakuna wanaume huko? Kwmaba hakuna wanaume majabali zaidi ya 400 huko?
Mnawadekeza sana hao wajinga ,wakileta usengerema wao ni kuwatengua miguu tu ,mnapiga vyuma vya kwenye joint.Habari zenu wakuu,
Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha.
Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani.
Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya wilaya Arumeru (Sekei) mpaka wakamjeruhi. Na siku mbili nyuma walimpiga kinyozi mmoja kwa fimbo zao sehemu ya jicho mpaka jamaa alikaribia kupoteza jicho lake maana ameumizwa sana.
Nimeskia pia juzi Kati hapa walimpiga kijana mmoja maeneo ya Kijenge nusu wamuue.
Nimejaribu kufuatilia lengo la wao kupita barabarani kwa makundi (idadi ya vijana 200 au 300 hivi) nikaambiwa kuwa wanafanya mambo ya kimila (mfano wa jando na unyago wa KIMASAI) ila sasa naona jamaa wamevuka mipaka maana wamekuwa hatari na hata wakipita barabarani hawataki mtu Mwingine akatize vinginevyo wanamshambulia bila huruma Wala kujali usalama wake.
Nimeona nilete Kero hii maana naona inazidi kushamiri na kuonekana ya kawaida na mamlaka ziko kimya haziwachukulii hatua sasa nashindwa kuelewa iwapo Hawa vijana Wana mandate ya kupiga watu ovyo.
Nawasilisha!
Duh et majabalHakuna wanaume huko? Kwmaba hakuna wanaume majabali zaidi ya 400 huko?
Mwagia acid tu, tembea na kichupa chako mmoja tu akilia wote mbio hapoHawa ni Kero sana na wanavimba kwa sababu wanajua ukibishana naye wanakuja kundi kubwa la wenzake wa kimasai kukushambulia
Duh et majabalHakuna wanaume huko? Kwmaba hakuna wanaume majabali zaidi ya 400 huko?
Tunataka tu Sheria ichukuwe mkondo wake wake.Mnawadekeza sana hao wajinga ,wakileta usengerema wao ni kuwatengua miguu tu ,mnapiga vyuma vya kwenye joint.
Kwa Sheria ipi inayosema kuwa kuna wamiliki wa mji Tanzania. Acha mihemuko kijana hii nchi ni yetu sote, Mimi natokea Tanga naishi Arusha na hata huko nitokako kuna wamasai tena maelfu kwa maelfu lakini hatujawahi kuwabagua. Sasa hoja yako Haina mashiko zaidi ya hisia potofu za utenganifu.Acha wapigwe tu arusha hiyo ni yawamasai na sio vinginevyo