KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hale ni maandamano na hawana kibali. Tena mida ya usiku. Polisi sijawahi kuwasikia wakisema lolote lile.

Next time morani watumike kwenye maandamano.
 
Kwa Sheria ipi inayosema kuwa kuna wamiliki wa mji Tanzania. Acha mihemuko kijana hii nchi ni yetu sote, Mimi natokea Tanga naishi Arusha na hata huko nitokako kuna wamasai tena maelfu kwa maelfu lakini hatujawahi kuwabagua. Sasa hoja yako Haina mashiko zaidi ya hisia potofu za utenganifu.
Kwanini uende kwenye ardhi ya wamasai rudi Tanga
 
Hao jamaa waone tu na tumiguu twao tudogo na mashuka yanayonuka ila cheza mbali nao kabisa .

Mwenzio na mikanda mbalimbali ya ngumi niliwahi kuwaletea noma kisa tu vyeo twangu haki ya Mungu nilipigika kaka ,kila nikiwaona napiga salute kwa siri .
.
Hao dawa yao risasi tu ila suala la ngumi na fimbo ukienda kizembe na style za taikwondo sijui tai chiii watakupiga mpaka uchakae
 
Jamaa ni wagomvi sana, hata huku mjini wanauza dawa, wakikusemesha usipowajibu wanakutukana, iko siku watu watapambana nao
Tuliwatetea walipopigwa marufuku kutembea na sime na fimbo mjini kama wanachunga mifugo, kumbe wana ushenzi wa kuhisi kila mtu asiye mmasai ni Ng'ombe?​
 
imenikumbusha kipindi nkiwa mgeni miaka michache nikiwa ndio nemehamia kuishi mkoa mmoja miaka ya late 90s.

wakapita kikundi cha wenyeji wengi wao akina mama kama watu 100-200 wakevaa kiasili wamejifunga kaniki nankujipaka vitu vyeupe usoni ,miguuni wamevaa njuga na mwilini maushanga na kiunoni wakiwa na ngoma na vitu vingine vya kiasili ikiwemo mikuki vyungu moto fimbo n.k wakiimba na kupiga ala nyingine za miIziki marima kama zeze.

kwa utamaduni wa mkoa ule ile ngoma ya IMAA ya kwenda kumtoa SIMBA PORINI wanasema wanaenda kumchukua simba...ikiwa inapita mtaani inabidi wanajamii wote mfungr milango mjifungie ndani wao wanapokuwa wanapita kwenda kumchukua huyo simba na wanapokuwa wanarudi huwa inafanyika mara moja kwa mwaka hiyo ngoma.

kwa vile nyumba yangu ipo katibu ja barabara wanayopita na mimi mfugaji nikiwa na mifugo yangu nailikatia katia kajani uwanjani karibu na barabara wanayopita wana ngoma ya imaa.

kulikuwa na ngombe mmjoa aliyekuwa mkali sana asiyependa kelele ,ile sisi tumeingia ndani nje webaki ngombe peke yao ile wana imaa wanapita si nhombe wakawafukuza wakakimbia wakaacha manyanga nyanga yao na simba wao ..


KESI ILIKUWA kubwa walikwenda kunishitaki kwa serikali ya kijiji ,wakaambiwa huyu ni mkonongo mgeni hajui hii mila nikasamehewa nikalipa faini,kesi ikaisha.
 
yule ngombe alikuwa mkali sana halafu hapendi kelele mana walikuwa wanapiga filimbi ngoma na ala nyingine za mziki wa asiki ikiwemo kuliza njuga za miguu n.k

walitimiliwa na ngombr wangu wakaaacha manyanga yao hapo hapo..

ila wakaenda kunishitaki..serikali ya kijiji..ikabidi nilipe faini..sijui kama ile ngoma ya IMAYA sijui imaa ya kwenda kumchukua simba porini kama bado inaendelea kila mwaka mpaka leo mkoani pale.

wakiwa wanapita wata amrisha watu wote wakae ndani wasiwaone walivyobeba simba wao.

na wanapita mida ya mchana wanarudi jioni .kikundi cha watu..usoni wamejipaka unga mweupe huwezi watambua na mwilini wamevaa kaniki na maushanga shanga .

MILA ZA WATU hizi aisee wakati mwingine zinaleta taharuki hasa kwa sisi wakonongo.
 
Maskolioo hao 😀😀😀, tuliwatandika kipindi fulani walijikuta wao ndo mashababi mpaka kiongozi wao akaja kishitaki kwa afande CO 😂😂
 
Juzi tu hapa nimeona wameingiza ng'ombe kwenye shamba la ushirika, Chalinze wakamaliza ekari zaidi ya 200, polisi walivyofika, wakakaa mbali na kuwatuma afisa mifugo wakakamate ng'ombe, aisee walichezea kichapo mpaka wengine kulazwa hospitali, nachoshangaa ni polisi kuogopa kuwakamata na kutuma bwana mifugo
 
Back
Top Bottom