Legend joba
Member
- Aug 25, 2022
- 30
- 44
Hao ni morani usiombe ukutane nao wakiwa wametoka kwenye tohara
Police anapewa rushwa na maasai , alafu baadae maasai huyohuyo anakuja kumpiga mkewe wa polisi kwa kuzuia mifugo yake isile kwenye shamba lake.Wanatoa sana rushwa kwa polisi. Sehemu nyingi zilizojaa wamaasai kama Mvomero zinapitia hii shida.