Legend joba Member Joined Aug 25, 2022 Posts 30 Reaction score 44 Dec 26, 2025 #41 Hao ni morani usiombe ukutane nao wakiwa wametoka kwenye tohara
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 6,895 Reaction score 11,025 Dec 26, 2025 #42 mshamba_hachekwi said: Wanatoa sana rushwa kwa polisi. Sehemu nyingi zilizojaa wamaasai kama Mvomero zinapitia hii shida. Click to expand... Police anapewa rushwa na maasai , alafu baadae maasai huyohuyo anakuja kumpiga mkewe wa polisi kwa kuzuia mifugo yake isile kwenye shamba lake. Police ni ya kufanyiwa reforms.
mshamba_hachekwi said: Wanatoa sana rushwa kwa polisi. Sehemu nyingi zilizojaa wamaasai kama Mvomero zinapitia hii shida. Click to expand... Police anapewa rushwa na maasai , alafu baadae maasai huyohuyo anakuja kumpiga mkewe wa polisi kwa kuzuia mifugo yake isile kwenye shamba lake. Police ni ya kufanyiwa reforms.