Kule wana ukabila, si ajabu kila kabila linataka mtu wake..... go far beyond these simple demands........walianza na finace bill, sasa hiyo imeisha wanataka aondoke........Kwani wananchi wakitaka aondoke Kuna shida?. Wao si ndio wamechagua. Usilete mambo ya CCM Kenya, serikali ni ya wananchi sio kitu kimeshuka kutoka mawinguni.
Umbwaaa mbusiiWe kenge.
Umeona wananchi walivyowashangilia KDF mitaani?. Huo ndio ujumbe kwa Ruto. Wananchi wanataka jeshi lichukue nchi, that's all.
Jibu nilichouliza, matusi si majibuMtanzania huwezi elewa we baki na samia wenu bongo
Hata Uhuru walimsema hivyo hivyo, hata Raila angekuwa Rais bado wakosoaji wake wasingekosa eneo la kumpigia.Ushindi wenyewe wa utata. Halafu tofauti ya kura laki Mbili. Very close. Ruto ni tapeli na mwizi. Kakopa Sana na anasafiri Sana.
Ila baadae Wakenya wakamchagua kuwa Rais wao.Wakati wa harakati za kutafuta katiba mpya ya Kenya mwaka 2010 Ruto ndiye alikuwa kiongozi wa upande wanaopinga Katiba mpya
Wataiangushaje Serikali Halali iliyochaguliwa Kikatiba Kisheria na Kidemokrasia?!Hao wanataka kuangusha serikali tu,hakuna zaidi
Hata kusoma unajua ? Ngoja nirudie nilichoweka hapo juu....Watu wanaongelea bajeti wewe unaongelea wivu. Wivu ni personal bajeti ni national issue.
Kwahio bila kuondoa root cause ya haya matatizo ambayo yote yanatokana na kukosa ujira wa kotosha hakuna kitakachobadilika sababu watu wangekuwa na ujira wa kutosha hizo tax hikes kwao zisingewasumbua... Now how can you get ujira katika karne ya automationHata aje nani bila a complete overhaul of the current status quo vitu havitabadilika na huku hayo yatatokea punde...
Kwa lugha nyingine watu hawa ni shida kujipatia riziki zao za kila siku sababu hawana ajira zenye ujira kesho yao haieleweki hivyo they have nothing to lose...Nguvu kazi katika karne ya sasa haiitajiki tena hivyo ajira ni tatizo na kama ajira ni tatizo katika nchi ya kipebari ambapo means of production zinahodhiwa na wachache wengi hakuna wanachopata (sababu wangepata ujira through ajira
Na sababu kuna gap in classes kinachotekea ni watu kupata hasira na kuona wote wenye navyo ni majizi au wanawanyonya kama sio mwanasiasa (ambaye kweli wengi wao ni majizi) basi watasema ni muhamiaji anayechukua kazi zao) In short bila rethink of strategies expect mambo kama haya kuwa daily occurance all over the wolrd after Gen Z it will be Generation Alpha (kwao huenda hali ikawa ngumu zaidi)leo hii wanachopata ni wivu tu wa kuona what they can not have.....
Mubarak aliondokaje misri?Wataiangushaje Serikali Halali iliyochaguliwa Kikatiba Kisheria na Kidemokrasia?!
Alishinda uchaguzi,ukishindwa uchaguzi subiri uchaguzi mwingineKwani Kuna ubaya wananchi wakiiondoa serikali.
Mubarak aliingia kimagumashi Mamlakani.Mubarak aliondokaje misri?
Baada ya hapo alikaa madarakani kwa chaguzi zilizokubalika kuliko hata chaguzi za rwandaMubarak aliingia kimagumashi Mamlakani.
Hakuna kitu huwezi kufananisha integrity ya Chaguzi iliyomuweka Rutto Madarakani na ile Michezo ya kuigiza ya Misri.Baada ya hapo alikaa madarakani kwa chaguzi zilizokubalika kuliko hata chaguzi za rwanda
Hivi unadhani wanajeshi wanaweza kuwashinda raia???Wanavuta bangi wanadhani watu wote wana akili za kushinda mitandaoni na kuandika ujinga na wivu, wanaweza wakawa ni wengi lakini bado nchi hizi za afrika mashariki hazijafikia wakati wa kuongozwa na mihemko ya mitandaoni.
Hivi sasa watapigwa kweli kweli na hao wanajeshi , mwanzoni walionekana wana hoja na wanajeshi wakawa wakiwahurumia kwamba wanayo mantiki katika hicho wanachokifanya, lakini wanapoenda watapokea mkong'oto wa uhakika kutoka kwa hao hao waliowaachia wakafanya walichofanya.
Bange mbaya sana wewe Ghayo..Umbwaaa mbusii
MBRRR MBRRR MBRR pata ladha yamavi
Kammon Nyau ww
Wenzetu hawadanganyiki kirahisi hivyo, mswada hauwezi kufutwa kwa matamko bali sheria,Lakini kwa mwanasheria as long as Rais hajai sign, then all is Ok! Hakuna kitu hapo, the statu quo remains !
Step by step, amekataa kusain, then with time itafutwa as they demand. sasa kula wali bungeni inaashiria nini?
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community