Vijana wa Kitanzania watauana sana kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa kama fasheni. Ndoa ni mkataba mzito sio wa kuvamia hovyo

Muishi kwa shida na raha
Hii kauli iondolewe sahvi

Ova
 
Hakuna Mwanamke yuko tayari kuamuliwa maisha na mwanaume..

Ndio maana hata SSH anawaprove wrong mliominishwa kwamba shujaa wa Africa is exceptional na hakuna wa kumfikia 🏃🏃
 
Nahisi YESU [ISSA-BIN-MARIAM].....yupo gym,anapsha ili kuja kuhukukumu ulimwengu aithee!!!!,ni ngumu kumtawala mwanamke anayependa vi2 bandia kama kucha,nywele,kpe,makalio bandia nakadhalika,sasa kama m2 anakumbatia vi2 bandia,atapendaje ndoa original!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…