Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Mwanamke yuko tayari kuamuliwa maisha na mwanaume..Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa.
Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume.
Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na kutuliza shida zao. Na ndio maana ndoa ni kama fasheni huku hawaishi maisha ya ndoa. Wanachepuka na kupigwa kama mbuzi.
Mwanamke aliyetayari kukaa ndani ya ndoa huwa mtiifu na atailinda ndoa yake kwa kila namna.
Ila hawa vinuka mkojo wa leo ndio wanasababisha mauaji kila siku.
Kwako habari haianzi na kichwa cha habari?Kuna sehem mtoa mada kamzungumzia mtu yeyote na kusema huyo mtu ni kijana?
Nahisi YESU [ISSA-BIN-MARIAM].....yupo gym,anapsha ili kuja kuhukukumu ulimwengu aithee!!!!,ni ngumu kumtawala mwanamke anayependa vi2 bandia kama kucha,nywele,kpe,makalio bandia nakadhalika,sasa kama m2 anakumbatia vi2 bandia,atapendaje ndoa original!!!!!Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa.