Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Ukweli uwekwe wazi tu mkuu maana nachokiongea nina ushahidi kbsa
Weka ushahidi,
kijana una akili kama kikongwe au mchawi inasikitisha sana.
Sijui ukizeeka utakuwaje.
Jirani zako wenye maendeleo watakuwa wanapata tabu sana na akili zako za kichawi
 
Ongea ukweli tu mkuu kwa nini mbeya inaongoza kuwa na makanisa mengi na bado matukio ya kichawi yameshamiri
Sehemu ambayo kuna Neema ya mungu shetani hutumia nguvu kubwa kutaka kuiangusha
Hilo halina ubishi ni namna ambavyo pia watoa habari wapo kila kona , , so hulahisisha kujulikana kwa matukio kwa haraka na kila tukio, , tofauti na mikoa mingine mambo yanafichwa sana then tunafikiri ni salama

 
Mbeya ina kila kitu
1.Airports mbili
2.Dryport
3.Ya tatu kwa mapato Tz
4.kilimo
5.Gentlemen
6.Vipanga wengi wako mbeya
7.univeristies eg Must
8. Multitribe region
9.Country-boundary region
10.Ziwa rukwa
11. Ina silent bilioneaz
12. etc


Wanamadhaifu yao kama walivyo wengine
Ila sifa kedekede

Wako juu kias flani...
Ziwa Nyasa pia mkuu
 
Wa kutoka mbeya mmhh hapana binafsi NAWAKUBALI watu wa Mwanza (Rock city people). Nimeishi Mwanza but mi wa Manyara. These people good sana.
 

Attachments

  • 20170625_235536.jpg
    20170625_235536.jpg
    67.2 KB · Views: 29
  • Mwanza+1.JPG
    Mwanza+1.JPG
    100 KB · Views: 29
  • Mwanza+2.JPG
    Mwanza+2.JPG
    100.6 KB · Views: 28
Wa kutoka mbeya mmhh hapana binafsi NAWAKUBALI watu wa Mwanza (Rock city people). Nimeishi Mwanza but mi wa Manyara. These people good sana.
Acha ushamba wewe sasa unamtishia nani na majengo usiyo jua hata gharama yake
Unaishi kwenye kinyumba cha ajabu halafu unaleta picha za majengo yasiyo kuhusu.
Nakujua vizuri manyara ila sijawahi ona mtu mshamba kama wewe akitokea manyara
 
Back
Top Bottom