Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimecheka mpaka basi. Ha ha haaaa, msamehe tuMatanga gha nyoko
Gwe ughwe! ughwe!! Tuli bhololo fiijho uswe!Linga mli na matingo
Una matatizo ya akili weweWana feel inferior sana wakikutana na jamii nyingne ndo maana wanaonekana wapole
Haujielewi wewe, nenda Nigeria ndio utaona Mbeya hamna makanisa na nafikiri hapo ulikuwa unaandika ukiwa umepakatwaOngea ukweli tu mkuu kwa nini mbeya inaongoza kuwa na makanisa mengi na bado matukio ya kichawi yameshamiri
Sio kweliNi kweli mkuu, lakini hivi karibuni vijana wa Mbeya wamekuwa wanaiga tabia za vijana wa Arusha
Weka ushahidi,Ukweli uwekwe wazi tu mkuu maana nachokiongea nina ushahidi kbsa
Mtapika sana jungu, kijana una akili kama mchawi.Nasikia mnataka kuibadili jina la hizo tuzo ziwe zinaitwa MwakaBET
Unatusingizia sisi ni wapole watulivu tusiopenda makuu na tulio na hofu ya munguMaisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Sehemu ambayo kuna Neema ya mungu shetani hutumia nguvu kubwa kutaka kuiangushaOngea ukweli tu mkuu kwa nini mbeya inaongoza kuwa na makanisa mengi na bado matukio ya kichawi yameshamiri
Hilo halina ubishi ni namna ambavyo pia watoa habari wapo kila kona , , so hulahisisha kujulikana kwa matukio kwa haraka na kila tukio, , tofauti na mikoa mingine mambo yanafichwa sana then tunafikiri ni salama
Muafaka
Hivi uchawi mnapima kwa unit gani? Au mnajaji kwa kutumia njia gani?Mbeya umezidisha mkuu
Ziwa Nyasa pia mkuuMbeya ina kila kitu
1.Airports mbili
2.Dryport
3.Ya tatu kwa mapato Tz
4.kilimo
5.Gentlemen
6.Vipanga wengi wako mbeya
7.univeristies eg Must
8. Multitribe region
9.Country-boundary region
10.Ziwa rukwa
11. Ina silent bilioneaz
12. etc
Wanamadhaifu yao kama walivyo wengine
Ila sifa kedekede
Wako juu kias flani...
Yaani ww Ni pimbi balaa... Vijana wa mby wanajitambua ..sio Kama ww mfuasi wa ng'onda kutoka chattoKwasababu amekataa kuwa mtumwa wa wachagg kama vijana wa mbeya walivyo
Acha ushamba wewe sasa unamtishia nani na majengo usiyo jua hata gharama yakeWa kutoka mbeya mmhh hapana binafsi NAWAKUBALI watu wa Mwanza (Rock city people). Nimeishi Mwanza but mi wa Manyara. These people good sana.