Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

Acha kubeti, energy drinks, pombe zilizozidi na uwolowolo itakusaidia. Kuna nini unafikiri sielewi Mr. Kiranga.
Logical non sequitur fallacy.

Mimi sibeti ingawa nina accwss ya glibal markets.

Unaijua Dow Jones Industrial Average wewe? Unajua future trading wewe?

Energy drinks na pombe sigusi. Uwolowolo unaujua weee.

Unarudia tabia yako ya kutoa ushauri ambao hujaombwa, kwa watu usiowajua kuhusu mambo usiyoyafahamu.
 
Mbona inaonekana wewe ni mlevi sana?
 
Mbona inaonekana wewe ni mlevi sana?
Hapana.

Ni wewe unapenda kuwa kimbelembele sana kujifanya unawajua watu usiowajua.

Mara ya mwisho kunywa kinywaji chenye alcohol nilikunywa Champagne tarehe 1 January 2024 wakati wa kusheherekea mwaka mpya. Tarehe 1 January 2025 nafikisha mwaka mzima sijakunywa pombe ya aina yoyote.

Ni wewe tu unapenda kimbelembele kujifanya unawajua watu usiowajua.
 
Basi wewe ni mwongo na mgomvi sana. Ni wapi mimi nimeonesha kuwajua watu nisiowajua?
 
Basi wewe ni mwongo na mgomvi sana. Ni wapi mimi nimeonesha kuwajua watu nisiowajua?
Wewe hujielewi.

Hapa umenianbia mimi mlevi wakati situmii pombe, huoni kwamba hapo umejifanya unanijua wakati hunijui?
 
Ndugu zangu tuenjoy life tunaishi mara Moja tu hakuna kusikiliza maushauri ya kjinga , unaweza ukafa hata saiv , tuleni bata maisha ndo haya haya , unataka ujitunze na kujiweka smàrt wakati we ni marehem mtarajiwa , tuenjoy wakuu Fanya chochote kinachokufurahisha
 
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo

Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!

Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.

Mnasubiri muajiriwe? Na nani!
Maisha yenyewe mafupi waache watu wafanye wayapendayo. kila mtu abaki ma dhambi zake
 
Back
Top Bottom