Bora huyo kaamua kutoa stress zake bila kuhatarisha maisha yake.Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma
Muda wa wake za watu kuchepuka ni muda wa asubuhi wakati wa kwenda kaziniLeo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma..
Don Miguel kwenye kitabu chake cha The 4 agreement anasema Don't take things Personal 😀😀😀Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma yeye kafata kondom anasema anaenda kazini hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondom kweli hii nchi kazi ipo daaah
Don't hate the player, jus hate the game bro..🤷🏾♂️Hili neno limeniuma nimekuchukia wewe kijana
Mbona wewe umenunua ndawa zako za presha na hajakushangaa,usikute hiyo presha imekupata kwa uraji mbaya na kutokufanya mazoezi, umekaa Kama furushi , acha kupangia watu kitu Cha kufanya.Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma yeye kafata kondom anasema anaenda kazini hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondom kweli hii nchi kazi ipo daaah