Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma
Bora huyo kaamua kutoa stress zake bila kuhatarisha maisha yake.

Awamu hii unadhani watu wana hamu nayo basi?
 
Enzi zetu pia tulikuwa na kazi za usiku kama kiwanda cha urafiki .ufi.chibuku.bandari Bora NMC alaf wazo uku kote kazi zinafanywa kwa shift ila ukitoka kazini ni kwenda nyumbani kulala na kupumzika maana unakuwa umechoka yaaani utoke kazini upate nguvu za kufanya ngono sio kweli nyinyi vijana wahuni tu.huyu naamini ana ata kazi
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma yeye kafata kondom anasema anaenda kazini hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondom kweli hii nchi kazi ipo daaah
Don Miguel kwenye kitabu chake cha The 4 agreement anasema Don't take things Personal 😀😀😀
 
Mimi nilikuwa nafanya kazi mizani ubungo pale lipo jengo la tanesco na tulikuwa na shift unatoka pale jirani kilikuwa na bar inaitwa Port access corner bar Maquis wanapiga pale au safari sound inakujia hamu ukaangalie kwa ochovu uliokuwa nao uwezi zaidi ya kwenda nyumbani kulala kama gunia maana zamani kazi ni kazi sio kutwa vijana mpo kwenye simu mara computer zama hizo kazi kazi kweli
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma yeye kafata kondom anasema anaenda kazini hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondom kweli hii nchi kazi ipo daaah
Mbona wewe umenunua ndawa zako za presha na hajakushangaa,usikute hiyo presha imekupata kwa uraji mbaya na kutokufanya mazoezi, umekaa Kama furushi , acha kupangia watu kitu Cha kufanya.

Unachokifanya wewe haimanishi kwa wengine Ni sahihi, hata Mimi nakushangaa kuamuka asubuhi kwenda kununua ndawa za presha badala ya kwenda kazini
 
Wewe unaonyesha ni wale watu wenye tabia za hovyo kushinda kwenye maduka ya dawa ya watu mkipiga story na kuwapa ugumu wateja wa condoms kununua wanapohitaji.
 
Kwani mtoa mada kushangaa kuna tatizo ndugu zangu 😁😁

Mtoa mada amegusa asipotakiwa kugusa
 
Back
Top Bottom