Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

Weee mzee mzeee mtoa post acha shobo , mwenzio. Muda huo wa saa 12 kapata utelezi. , Sasa wewe unamwonea wivu. Wakati njemba nyingine hata mwaka au miaka hazijapata utelezi sooooo acha shobo
 
No wonder una presha, we yanakuhusu nini? au ulitaka naye anunue dawa za presha khaaaaaa 😡 Mtu ajilinda afya yake we unaleta mba mba mba apa eti Jumatatu kwa hiyo ikiwa Jumatatu ? mbona tunapangiana maisha aloo!
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
si ndo anaenda kutengeneza mimba baade anazalisha mtoto? au?
 
Daaah !
Very interest.

Ila binafsi hamna kitu kinanipa wakati mgumu kama kununua kondomu!
 
Watu walioajiriwa na wahindi siku zote hudhani j3 asubuhi kila mtu anatakiwa kukimbia kuwahi kazini kumbe wengine wamejiajiri.
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Hii sasa ndio unaitwa umbea.
Labda ni mlinzi ndio anatoka job mda huo anataka kwenda ulienjoy na bby wake maana usiku hana mda.
Labda ni kudumu wa afya alikuwa shift ya usiku na huo ndio mda anatoka job anataka kwenda kujivinjari na kondom za MSD hunipendi anataka zenye vipele.
Labda ni mwalimu na siku hiyo alikuwa anaenda unafundisha mada inayohusiana na uzazi wa mpango au HIV&STDs na unajua shule zetu hazina vitendea kazi vya kutosha na yeye anataka afundishe kwa mifano na vitendo ndio maana akaamua kununua kondom ili unafundisha wanafunzi njia sahh za kuitumia kwa ufasaha
 
Kwa niaba ya mtoa mada namuombea msamaha, mumsamehe mashushu yametosha😂😂😂😂😂😂😂😂😂.

Mtoa mada hili nalo ukalitizame
 
Kwa niaba ya mtoa mada namuombea msamaha, mumsamehe mashushu yametosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mtoa mada hili nalo ukalitizame
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bro pole ninakazi za kuchomelea ndio nikaona Usiku nisilale kwa sababu ya mgao Wa umeme sasa asubuhi ndio naenda kulala.

VP kwani unaumia sisi vijana tuwe Wa ajabu ninyi miaka 60 yote hamna Maji wala umeme hatujasema mizee ya ajabu tunawavumilia tu hivyo hivyo .tuheshimiane mzee
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasahivi umeruhusiwa kumiliki tv ndo ununue kondom saa 12 asubuhi!!!??? Enzi hizo tv haikuwa chombo cha kawaida kama hivi sasa, ilikuwa kitu cha amasa na gharama mno na kwa kipato cha mtu mmoja mmoja enzi hizo ungenunua tv lazima uhojiwe umepata wapi pesa mdefu kiasi cha kununua hiyo kitu. Hata huko xilipokuwa zinatoka walikuwa wanamiliki watu wenye uwezo na si kila mtu.
Umesema zamani kila mtu hakua na uwezo wa kumiliki tv tofauti na sikuhizi maana yake unamainisha sikuhizi kila mtu anauwezo wa kumiliki tv et?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Vijana wa juzi mkishavuta bangi zenu mnaandika chochote!
Hajawahi kupatikana kiongozi sampuli ya Nyerere hapa nchini. Kila chema unachokiona leo ni matunda yake kuanzia Umoja tulionao kama nchi, Miundombinu mingi tu kama viwanja vya ndege, vya mpira, Viwanda, Majengo ya serikali, mifumo ya uongozi wa nchi, jeshi letu, lugha moja kwa wote n.k n.k n.k na wakati huo ujue kipindi hicho kila aliyefanikiwa kwenda shule aligharamiwa na serikali kila kitu (haukuwa mkopo) na matunda yake ndo hawa viongozi unaowaona leo. Kumbuka wakati huo uchumi wa nchi ulikuwa chini sana lakini mwalim alimudu kufanya yote hayo kwa mapenzi mema aliyokuwa nayo kwa nchi hii.
Wewe kijana wa zamani yaweza kua ni mwana ccm na mimi nakwambia hivi matatizo ni yale yale toka enzi za mwalimu mpaka leo maana yake ccm imeshindwa,
Ccm out before 2025.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Condom mbona ni kitu cha kawaida na amefanya jambo jema sana kwa kuonyesha anajali sana afya yake...muda wa kazi sio asubuhi mpaka jioni wengine huo muda ndio wanapumzika...
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Kitaalamu watu wanaopenda kufuatilia mambo ya watu wengine bila sababu za msingi za kufanya hivyo wana matatizo ya kisaikolojia. unakoelekea utaanza mchezo wa kuchungulia watu madirishani.
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Kwani alikiambia anaenda kuitumia muda huo,vipi kama alianza kufanya maandalizi kwa ajili ya siku ile?
 
Ndio maisha ya sasa kwani vijana wa leo wanasema kazi na dawa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom