Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu mimi nipo porini...😂😂😂itakuwa ndio nyie hadi imebalance kabisa
Pasipo Mungu wasingefika hata hapo walipofika,Kwani ukisema maisha wameyapatia kwa juhudi zao dhambi?
Mungu alisema tusiibe wala tusidhulumu lakini vijana wanafanya yote ili waishi vizuri, hizo ni juhudi zao
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hilo jiwe limenipata asee.Kama una demu wako au mchumba anakaa Sinza bas umekula wa chuyaaa
HahahaHilo jiwe limenipata asee.
Fafanua kiasi mkuu
Kwani wewe unafanya kazi wapi?Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Nadhani ni mtazamo wako na unasumbuliwa na inferiority complex.
Solution...
Tafuta pesa.
Hamia Posta au Bank, utajua kwanini unaona kama wanaringaBunju
Hilo jiwe limenipata asee.
Fafanua kiasi mkuu
Asante mkuuNilivyo na nilivyonavyo ni kwa ajili ya Mungu,
Wapo watu wanaoishi km kwamba wàmependelewa sana na Mungu
Tambua kwamba ni Mungu aliefanya wawe jinsi walivyo sio juhudi, jitihada, maarifa wala bidii zao binafsi na wala sio matokeo ya akili, maamuzi au matakwa yao binafsi
Yupo anaeshinda, anaelinda, anaetunza na anaekuza kwa ajili yako/yao
Ni yeye pekee alie ukamilifu na utoshelevu
Fanya kila kitu kwa ajili ya yeye pekee
Injili ya Luka 12:19-20
Kumbukumbu la Torati 8:12-14
Nawasilisha..
Crown ingekuwa inatumia wese la laki 3 kwa mwezi hata mimi ningelinunua, hayo mafuta ni ya gari kama IST na wenzieYaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajenge
Kwahio weekend halitembei? Kitambaa cheupe, kidimbwiMkuu acha uongo...Kwahiyo unataka kusema kwamba crown kwa safari za sinza to posta ni mafuta zaidi ya 300k+?