Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 817
- 1,752
Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, Sheikh Nurdin Kishki amesema kati ya mabwana harusi 70 wanaofungishwa ndoa nusu yao wametoka Mkoa wa Dar es Salaam.
Hayo yamebainika wakati mkurugenzi huyo akitaja maeneo watakayopeleka mahari ikiwamo Dodoma, Lindi, Mtwara, Pwani, Mwanza, Morogoro, Manyara, Unguja, Mara, Singida, Kigoma na Kagera.
Amesema wakati wanatangaza vijana waliojitokeza kutuma ujumbe kwa mfumo wa harafa kusaidiwa walikuwa vijana 1000 na walipofikia hatua ya kutoa fomu waliweka vigezo na masharti.