25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Kama wewe ulivioWatu wanajua kuowa ni kugegeda. wanakuja kutujazia single mamazi na panya road....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe ulivioWatu wanajua kuowa ni kugegeda. wanakuja kutujazia single mamazi na panya road....
Masaada maanake nini?Wanatumia mbinu za kiwaki sana kupumbaza vijana na ujinga wa vijana wanaona kweli wamesaidiwa ...
We vumilia tu mana huna namna kama umekubali kulipiwa mahari hata mke utasaidiwa kuweka mimbaMasaada maanake nini?
500000 we unafkiri hao wanawake wa kizaramo mahari yao inazidi 500000..?Mtaji ni kuanzia shngapi?
Ukitaka kutaja watu wanaopenda vya bure ongeza wanaume wa kiislam hawa watu wakisikia sehemu fulani kuna kitu cha bure especially misosi akili zao huruka.Majamaa mapumbavu haya, always misaada yao huwa yakipumbavu tu, kuna ile misaada sijui wanaita sadaka wanachinja mambuzi+mang'ombe kulisha watu badala ama kama wana Uchukia umasikin kwann wasigawe mitaji kwa wahitaji? Ama hizo pesa za kuwalipia vijana wapumbavu wapate ndoa kwann wasiwape wazifanyie maendeleo ili wasinyanyase mabinti za watu kwa njaa ktk ndoa?
Kuna mijanaume kabisa na ndevu zao imeomba kusaidiwa, Aisee wanaume wa hivyo hawanaga mchango wowote kwa jamii wala kwa taifa, hii misaada ya kipuuzi ipingwe na serikali inazalisha vijana wavivu na tegemezi,
Wavaa kobazi mnaharibu jamii
Jibu swali msaada maanake nini?We vumilia tu mana huna namna kama umekubali kulipiwa mahari hata mke utasaidiwa kuweka mimba
Unajikweza tu huna lolote mshamba tuUkitaka kutaja watu wanaopenda vya bure ongeza wanaume wa kiislam hawa watu wakisikia sehemu fulani kuna kitu cha bure especially misosi akili zao huruka.
Wewe mpumbavu na huyo mwenzio unae muunga mkono,heti hawana msaata katika jamii taja wewe unatoa msaada gani kwa jamii ilio kuzunguka?au lini ulipika waisilamu wakaja kwako kula?kwa wewe ni najisi na viombo viako najisi muisilamu gani aje kula kwako?ushamba tu nau ulimbukeni ndio unao wasumbua lakini hana chochote cha maana wachambia makaratasi nyieUkitaka kutaja watu wanaopenda vya bure ongeza wanaume wa kiislam hawa watu wakisikia sehemu fulani kuna kitu cha bure especially misosi akili zao huruka.
Basi mzee naona hata kuandika hujuiWewe mpumbavu na huyo mwenzio unae muunga mkono,heti hawana msaata katika jamii taja wewe unatoa msaada gani kwa jamii ilio kuzunguka?au lini ulipika waisilamu wakaja kwako kula?kwa wewe ni najisi na viombo viako najisi muisilamu gani aje kula kwako?ushamba tu nau ulimbukeni ndio unao wasumbua lakini hana chochote cha maana wachambia makaratasi nyie
Kwani walio olewa hapo ni wazalamo unaweza thibitisha uyasemaya kama ni kweli?je huko kwenu wanawake wanaolewa kwa shngapi unaweza nitajia kwenu kabila lako?500000 we unafkiri hao wanawake wa kizaramo mahari yao inazidi 500000..?
Akili ya kuwaza msaada ni akili mfu.Jibu swali msaada maanake nini?
[emoji3][emoji3][emoji3]Ukitaka kutaja watu wanaopenda vya bure ongeza wanaume wa kiislam hawa watu wakisikia sehemu fulani kuna kitu cha bure especially misosi akili zao huruka.
HABARI MBUNGE wa Makambako mkoani Njombe, Deo Sanga amesema kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya watu mkoani humoVitu petty sana hvyo
Badala wajikite katika masuala ya kimaendeleo wanajikita na vitu vidogo baadae utasikia kina fulani wanapendelewa ajira,fursa nk
Wewe ulio jikita kwenye maendeleo huna mke?Vitu petty sana hvyo
Badala wajikite katika masuala ya kimaendeleo wanajikita na vitu vidogo baadae utasikia kina fulani wanapendelewa ajira,fursa nk
Akili yako wewe ndio iliyokufa kufa kabisa sababu ujui unacho andika maanakeAkili ya kuwaza msaada ni akili mfu.
Hapa hatupo kushindanisha miandiko taja umesema yakuwa wapenda kula lini walikuja kwako kula? Mwenzio akasema hatuna msaada wowote katika jamii huyo nguruwe mwenzie atutajie msaada gani anaotoa katika jamii yake ilio mzunguka jibu niko hapa nawasubiliBasi mzee naona hata kuandika hujui
Sitokuwa wakwanza mbona wewe mkeo wanamgalagaza waendesha maguta?We vumilia tu mana huna namna kama umekubali kulipiwa mahari hata mke utasaidiwa kuweka mimba
Kuchangiwa kuoa sio ajabu kila siku zinaketi kama za harusi kupanga mipango ya michango ya harusiHABARI MBUNGE wa Makambako mkoani Njombe, Deo Sanga amesema kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya watu mkoani humo
Makambako Nako wameanza [emoji23][emoji23]
Kuna nn nyuma ya hii misaada ya kuoa?