Vijana acheni mawazo ya ovyo na kupeana moyo hapa.
Kijana ukitaka mke aulali na kuamka ukaenda barabarani ukakamata mwanamke na kupeleka kwenu/kwako.
Ni lazima wazo linakujia kulingana na hatua ya maisha yako ulipofikia na baadaye inakupeleka kuona hitaji la kuwa na mke, hapo ndipo mawazo yanachakata vitu vingi sana, Uchumba, NDOA, Mke, Watoto, Assets nk.
Kijana lazima upambane ukusanye pesa kabla ya kuwa na mke, ndiyo maana kwenye kikao cha harusi unaulizwa wewe una nini ili tuanzie hapo.
Unapowaza hayo unarudi mwanzo sasa 'PESA', kama huna kazi au unayo ufanye nini ili kufikia goal lako. Hii ni kawqida sana kwa kijana yeyote na kama upo hukuwa na huna mawazo ya aina hii basi nenda kapewe mke alafu sepa naye.
Kijana huwezi kupewa mke kaka huna mipango endeleavu ya kimaisha, utambwaga tu hapo mbele huyo binti, kijana lazima uwe na njia yako, kijana lazima uwe na ujasiri, self confidence in social, kijana unapopewa ujasiri na taasisi huyo mke unategemea atakuwa anakuangaliaje?.