Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

Mwanamke anae kubali kuishi kwenye kachumba ka elfu 25000 mahari yake haifiki hata Laki moja
Unajikuza tu huko kwenu wapo wengi tu wanaoishi kwenye chumba 1 cha 25,000/ hata nyumba za nyasi hata ukoowako wapo kama unabisha nitajie kabila lako na kijiji chako tuone kama hawapo
 
Chumba Cha 25k saiv ni sawa, lakini baada ya miaka mitatu ya ndoa itakuaje?
Kama hela yake inaishia kwenye kula na kulipa Kodi, vp akiongeza familia?
Kuoa sio jambo dogo, ndoa ni majukumu
Watu wengi wameanza mashi wakiwa 2 baadae waliongezeka wakafikia 10 na maisha yakafunguka hakuna alie anza maishi na kila kitu lakini jambo hili liko kiimani zaidi hakuna ajua kesho yake leo unae muona abalipiwa mahari huwezi jua kesho au watoto wake atakao wazaa wataitwa nani

Wewe leo unae mbeza kesho yake huwezi jua itakuwaje uwenda watoto wake wakaajiriwa na watoto wahuyo alie lipiwa mahara
 
Huwezi kosa mahari ni kuendelea kufuga ujinga tu ..
Unaongea usicho kijua uwenda ukawa unajua kuwa wapo walioshindwa kuoa kwa sababu walitakiwa kulipa pesa ambayo hawana ninacho kiona kwako ni kujizima data tu
 
Huko kwenu ujawai ona mlezi mzazi akimuozesha mwanae?
Kwetu yalikuwa ni mambo ya zaman sana!
Unaozwa unapewa na shamba kabsa, halafu ilikuwa ni expanded family...umeoa lakini bado unaishi kwenye eneo la nyumbani
Nowdays mambo yamebadilika, kama kijana kakosa mahari, unategemea nn
Ndio maana nikasema kama kweli wako na Nia ya dhati ya kuwaisaidia, basi wawapatie mtaji waanzishe biashara ili kusudi waweze kumudi hayo yote
Kumbuka lengo la msaada ni kukupunguzia shida na sio kukuongezea majukumu
 
Watu wengi wameanza mashi wakiwa 2 baadae waliongezeka wakafikia 10 na maisha yakafunguka hakuna alie anza maishi na kila kitu lakini jambo hili liko kiimani zaidi hakuna ajua kesho yake leo unae muona abalipiwa mahari huwezi jua kesho au watoto wake atakao wazaa wataitwa nani

Wewe leo unae mbeza kesho yake huwezi jua itakuwaje uwenda watoto wake wakaajiriwa na watoto wahuyo alie lipiwa mahara
Ni sawa kabsa, uko sahihi
Lakini suala la kuja kusubir mpaka wanao waje kukutoa kwenye shida ni lini? Kumbuka unahitajika kuwatengenezea Kesho nzuri wanao na sio kuwajazia shida
Halafu mambo ya kusubir mpaka watoto wake kukutoa huko uliko ni ukale, na haya mambo yamepitwa na wakati
 
Kama umeshidwa kupata mahari itawezaje kujenga nyumbaa? utawezaje kupeleka watoto shule? utawezaje kutunza familia? huduma muhimu kama chakula matibabu pale inapo hitajikaa.
Huyo babu yako halikosa mahari akalipiwa na walezi wake unajitia kujua kesho yako wewe sio?wengi waliishi maisha ya ufukara lakini baadae wakawa matajiri wengi waliishi maisha ya kifahari lakini maadae wakawa mafukara je ujawai kuona aliyefeli anamuajiri aliyefaulu?
 
Wewe ni mshamba wa maisha limbukeni
Mkuu....uwe na staha kidogo unapocomment kwa sababu sio ugomvi wala vita!
Lakini pia ukae ujiangalie Kati ya mm na ww nani limbukenj na mshamba wa maisha
Kama unategemea wanao waje wakutoe kwenye shida na tabu zako kuliko kuwatengenezea Kesho nzuri unaweza kujiweka kundi gan?
 
Si ndio hapo !!
Kuoa sio mchezo...kama ukiwa peke ako tu , majukumu yamekushinda au unayatimiza kwa tabu
Vipi mkianza kuwa wawili Hadi watano?
Ndoa inahitaji kujipanga kwanza
Kuoa sio sababu ya kufa masikini au kutooa na kuishi pekee yako ikawa sababu ya kuwa tajiri maisha haya fomla leo masikini waleo ndie tajiri wakesho tajiri waleo ndie,,,, mambo haya yako kiiimani zaidi
 
Tatizo lako ufahamu wako uko chini mfano mahari sh 1000,000,muoaji hana lakini anayo kazi kila siku ya kumpatia sh 15,000,za kutumia na mkewe kukusanya pesa sio kazi rahisi baba
Huwa mnasema wakristo wana mahari kubwa sana. Waislamu ukiwa na 50,000 tu unaoa.
Hiyo mahari kubwa waislamu wameanza kutoza tangu lini?
 
Huyo babu yako halikosa mahari akalipiwa na walezi wake unajitia kujua kesho yako wewe sio?wengi waliishi maisha ya ufukara lakini baadae wakawa matajiri wengi waliishi maisha ya kifahari lakini maadae wakawa mafukara je ujawai kuona aliyefeli anamuajiri aliyefaulu?
Mkuu...achana na hzo myths!! Usikaze fuvu namna hyo!! Huwezi kukaa kulinganisha maisha ya babu zety na ya Sasa! Saiv maisha yamebadilika kwa kiasi kikubwa
Kumwozesha kijana ilihali Hana kitu sio ujanja ni ujinga na upumbavu usiovumilika!
 
Wanatumia mbinu za kiwaki sana kupumbaza vijana na ujinga wa vijana wanaona kweli wamesaidiwa ...
Ujinga ni mzigo ndio kusema wewe ujawai kuona kijana akilipwa mahari?au huna kwenu?umekulia mitaani ndio maana unashangaa
 
Mkuu...achana na hzo myths!! Usikaze fuvu namna hyo!! Huwezi kukaa kulinganisha maisha ya babu zety na ya Sasa! Saiv maisha yamebadilika kwa kiasi kikubwa
Kumwozesha kijana ilihali Hana kitu sio ujanja ni ujinga na upumbavu usiovumilika!
Wewe ndie mpumbavu unaepinga jambo unalolijua kuwa lipo
 
Mahari kwa mujibu wa mafundisho ya dini yetu uisilamu ni chochote kitu atakacho kiitaji muolewaji kutoka kwa mtarajiwa wake hiwe pesa dhahabu nyumba gali mkeka viatu pete kwa ujumla mahari haina kiwango
Hao vijana 1000 wameombwa milion 2 nini?
 
Sasa kama umeshindwa kulipa mahali utaweza kuishi na mke, nyie vijana wa madrasa msikimbilie na mkafikiri ndoa nikufanya mapenzi tu
Kuna watu hawalei familia ila hela ya kulewa bar na marafiki na mahawara wanayo tena wanaharibu hata laki tano kila wiki.

Swala sio kulea familia swala ni kuwa na uelekeo wa familia. Sio kila mtu anatoka familia zinazowezesha kuwa na upeo wa kifamilia.
 
Ujinga ni mzigo ndio kusema wewe ujawai kuona kijana akilipwa mahari?au huna kwenu?umekulia mitaani ndio maana unashangaa
Mzazi au ndugu wanaweza kumlipia mahari ila siyo kwa watu baki.
Au ndiyo ile muislamu ni ndugu yake muislamu haina shida.
 
Back
Top Bottom