Tatizo hapo siyo kwa kijana, kupewa mahali na kuoa, inawezekana ana kazi inayoingiza kipato Cha kula pekee, tatizo lipo kwenye mfumo wa maisha yetu wote kwa ujumla, kijana anaishi maisha ya Bora liende kwa wazazi wake anaona pia hata akioa akaishi Bora liende ni sawa tu, ila maisha hayapo kwenye msingi kabisa kijana wa kiume Hana msingi na kijana wa kike Hana msingi pia wa kupanga mipango ya baadaye kwamba naolewa ili niwe nawatoto wangapi? Mwanaume naye mhitaji aweje? Na kijana wa kiume hivyohivyo anaoa bila plan ya kuingilia kwenye ndoa, kingine Bado vijana hawapewi muda wa kujijenga na wazazi na extended family, vijana wakipewa muda wa kujijenga na wakiwa wote wawili na plan wanaweza kuishi kwa vipato vidogo na wakawa na furaha.Kweli kabisaa huwezi nibebesha majukumu na unaona wazi kabisa nilisha shidwa.
Itabidi wawape mpaka na hela ya kutunza mwanamke uzazi mana ukose m1 ya mahari utaweza kumilsha mwanamke miezi mitatu ya uzazi..