Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

Tatizo lako ufahamu wako uko chini mfano mahari sh 1000,000,muoaji hana lakini anayo kazi kila siku ya kumpatia sh 15,000,za kutumia na mkewe kukusanya pesa sio kazi rahisi baba
Nonsense ,unapata 15000. Kwa siku ushindwe kulipa mahali ? , Una wazimu nini wewe dogo ?
 
Sasa kama umeshindwa kulipa mahali utaweza kuishi na mke, nyie vijana wa madrasa msikimbilie na mkafikiri ndoa nikufanya mapenzi tu
Sasa ndoa ni nini kama sio kufanya mapenzi?
 
Tatizo lako ufahamu wako uko chini mfano mahari sh 1000,000,muoaji hana lakini anayo kazi kila siku ya kumpatia sh 15,000,za kutumia na mkewe kukusanya pesa sio kazi rahisi baba
Kwanza mambo ya mahari ni upuuzi tu na kudhalilisha wanawake. Ndiyo maana baadhi ya wanaume wanatumia maumivu ya mahari walizotoa kutesa na kunyanyasa wake zao. PINGA KUTOLEWA MAHARI
 
Tatizo lako ufahamu wako uko chini mfano mahari sh 1000,000,muoaji hana lakini anayo kazi kila siku ya kumpatia sh 15,000,za kutumia na mkewe kukusanya pesa sio kazi rahisi baba
Kama laki ya mahari imemshinda haya mama akiwa mzazi ataweza kuhudumia haya watoto wakiumwa ghafla ataweza kuwatibia?
 
Mke umetolewa mahari Hapo kwanza dharau itaanza,kumtunza je?
 
Sasa kama mahali Inawashinda kulipa hela ya kujikimu na familia wataipata wapi?
 
Pagumu ni pale kuhakikisha binti wa watu anapata milo mitatu kwa wakati, bado mavazi n.k, kama ameshindwa kulipa mahari si dhani kama ataweza kuhakikisha kiumbe kinachopumua kinapata mlo sahihi kwa wakati.
Kuna uwezekano wa kupambana kupata hela ya kula mtu na mkewe lakini ni gumu kupata pesa ya pamoja 500,000 1000,000 kulipa mahari ila kwa mtu mzinifu anashangaa mtu kulipiwa mahari jambo hili liko kiimani zaidi ndugu
 
Back
Top Bottom