Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

Wanatumia mbinu za kiwaki sana kupumbaza vijana na ujinga wa vijana wanaona kweli wamesaidiwa ...
Kama kweli wako na Nia ya kuwaisaidia, wawapatie mtaji plus mafunzo sahihi ya biashara!
Ukifanikiwa, hautasaidiwa mahari
Ila ukinisaidia mahari peke Ake, kuna siku itabidi unisaidie unga, kumpeleka mwanangu shule...
 
Kweli kabisaa huwezi nibebesha majukumu na unaona wazi kabisa nilisha shidwa.
Itabidi wawape mpaka na hela ya kutunza mwanamke uzazi mana ukose m1 ya mahari utaweza kumilsha mwanamke miezi mitatu ya uzazi..
 
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hawa jamaa naona lengo lao ni kuongeza single mamaz, na omba omba tu!
Na nitashangaa kuona vijana wanafurahia misaada ya kijinga hv
Maana rahisi ya msaada ni ww umeshindwa kufanya hcho kitu
 
ni ujinga wa kupenda vitu vya kupewa pewa kupenda misaada.
Unakuwa mjinga kiasi hata vitu unaweza kufanya mwenyewe unataka kusaidiwa.
Hii ni aibu kwa Taifa vijana ambao ni taifa la kesho ndo kwanza wanasaidiwa kulipa mahari sijui hii nchi inaenda wapii kwelii..
 
Halafu Hawa ndio tunawategemea Kesho waje kutuletea uchumi wa kujitegemea
Ipo kazi sana kwenye hiki kizazi
 
😂😂😂sijui bhana tukiongea wanachomekea mambo ya udini ili kuleta vurugu..
 
Tumuombe mama yetu samia alipiata miamoja miminitakuwa mtuwakwanzakuomba maana umriunaeendasana
 
Naona waislamu mnatetea ujinga tu hapa yani mtu mahari inamshinda halafu anaingiza 15,000 kwa siku!!?
 
Sasa kama mahari kwenye dini ya kiislam imekushinda, utaweza kumtunza huyo mke kweli.....this is a joke aseee 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom