Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

Ni rahisi sana kupata pesa ya kulipa chumba kwa mwezi 25000 na kula kila siku sh 15,000,lakini ni ngumu sana kupata kwa pamoja sh 500,000,za mahari
Kama mtu ana malengo ya kuoa, anaweza saive hyo pesa na ikafikia Kiasi Cha mahari
 
Kama umeshidwa kupata mahari itawezaje kujenga nyumbaa? utawezaje kupeleka watoto shule? utawezaje kutunza familia? huduma muhimu kama chakula matibabu pale inapo hitajikaa.
Si ndio hapo !!
Kuoa sio mchezo...kama ukiwa peke ako tu , majukumu yamekushinda au unayatimiza kwa tabu
Vipi mkianza kuwa wawili Hadi watano?
Ndoa inahitaji kujipanga kwanza
 
Si ndio hapo !!
Kuoa sio mchezo...kama ukiwa peke ako tu , majukumu yamekushinda au unayatimiza kwa tabu
Vipi mkianza kuwa wawili Hadi watano?
Ndoa inahitaji kujipanga kwanza
Watu wanajua kuowa ni kugegeda. wanakuja kutujazia single mamazi na panya road....
 
Back
Top Bottom