Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 817
- 1,752
Yaani ndo swali la kwanza kunijia baada ya kusoma title tu, hata post sijasomaSasa kama umeshindwa kulipa mahali utaweza kuishi na mke, nyie vijana wa madrasa msikimbilie na mkafiri ndoa nikufanya mapenzi tu
Bora wapewe mitaji tuYaani ndo swali la kwanza kunijia baada ya kusoma title tu, hata post sijasoma
Tatizo lako ufahamu wako uko chini mfano mahari sh 1000,000,muoaji hana lakini anayo kazi kila siku ya kumpatia sh 15,000,za kutumia na mkewe kukusanya pesa sio kazi rahisi babaSasa kama umeshindwa kulipa mahali utaweza kuishi na mke, nyie vijana wa madrasa msikimbilie na mkafikiri ndoa nikufanya mapenzi tu
Ni rahisi sana kupata pesa ya kulipa chumba kwa mwezi 25000 na kula kila siku sh 15,000,lakini ni ngumu sana kupata kwa pamoja sh 500,000,za mahariBora wapewe mitaji tu
Mtu yoyote mzinifu hawezi jua thamani ya ndoasidhani kama issue ni mahari, aina ya maisha ya sasa inafanya vijana wengi kutoona umuhimu wa kuoa/kuolewa.
Njia moja wapo ya kupiga vita zinaa ni kila mtu kuwa na mke mume pesa ya kula sio kazi kuipata kazi ni kupata kwa pamoja 500,000,za mahariMkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, Sheikh Nurdin Kishki amesema kati ya mabwana harusi 70 wanaofungishwa ndoa nusu yao wametoka Mkoa wa Dar es Salaam.
Hayo yamebainika wakati mkurugenzi huyo akitaja maeneo watakayopeleka mahari ikiwamo Dodoma, Lindi, Mtwara, Pwani, Mwanza, Morogoro, Manyara, Unguja, Mara, Singida, Kigoma na Kagera.
Amesema wakati wanatangaza vijana waliojitokeza kutuma ujumbe kwa mfumo wa harafa kusaidiwa walikuwa vijana 1000 na walipofikia hatua ya kutoa fomu waliweka vigezo na masharti.
View attachment 2710015
Moshi milioni 5 halafu hawajui kupika. Tanga elfu 80 halafu wanakupikia msosi super. Moshi hawajui kupika ila utakuwa tajiri. Tanga wanajua kupika ila utakuwa masikini. Moshi utakuwa tajiri ila utawahi kufa. Tanga utakuwa masikini ila utaishi miaka mingi. Kupanga ni kuchagua 🤣🤣🤣Kwani mahari sh ngapi jamani
Kwa mm hp nimekuelewaTatizo lako ufahamu wako uko chini mfano mahari sh 1000,000,muoaji hana lakini anayo kazi kila siku ya kumpatia sh 15,000,za kutumia na mkewe kukusanya pesa sio kazi rahisi baba
Mh Bora Tanga mkuuMoshi milioni 5 halafu hawajui kupika. Tanga elfu 80 halafu wanakupikia msosi super. Moshi hawajui kupika ila utakuwa tajiri. Tanga wanajua kupika ila utakuwa masikini. Moshi utakuwa tajiri ila utawahi kufa. Tanga utakuwa masikini ila utaishi miaka mingi. Kupanga ni kuchagua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mahari kwa mujibu wa mafundisho ya dini yetu uisilamu ni chochote kitu atakacho kiitaji muolewaji kutoka kwa mtarajiwa wake hiwe pesa dhahabu nyumba gali mkeka viatu pete kwa ujumla mahari haina kiwangoKwani mahari sh ngapi jamani
Sehemu gani tanga wanako ozesha kwa sh 80 na wapi moshi sehemu gani wanakoa kwa m5 wachanga tunao hapa wameoa kwa 500,000, 300,000,unamdangaya nini weweMh Bora Tanga mkuu
Kwakuwa ni wewe wacha nikuache, maana nakujua kwako muarabu hana bayaTatizo lako ufahamu wako uko chini mfano mahari sh 1000,000,muoaji hana lakini anayo kazi kila siku ya kumpatia sh 15,000,za kutumia na mkewe kukusanya pesa sio kazi rahisi baba
Message from a very experienced person[emoji1787]Moshi milioni 5 halafu hawajui kupika. Tanga elfu 80 halafu wanakupikia msosi super. Moshi hawajui kupika ila utakuwa tajiri. Tanga wanajua kupika ila utakuwa masikini. Moshi utakuwa tajiri ila utawahi kufa. Tanga utakuwa masikini ila utaishi miaka mingi. Kupanga ni kuchagua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
au wanadhani mke ni fenicha kama meza hahaaaPagumu ni pale kuhakikisha binti wa watu anapata milo mitatu kwa wakati, bado mavazi n.k, kama ameshindwa kulipa mahari si dhani kama ataweza kuhakikisha kiumbe kinachopumua kinapata mlo sahihi kwa wakati.