Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

Mnamuongelea mtu mzima kama mtoto mdogo
Mnajua vip uenda aziz ndo kalazimisha ndoa

Na sio vizuri watu wakiamua kufanya yao
Muone negative side tu
 
Tumekuja na tunatamba mwenzetu kuolewa.
๐Ÿ‘Œ๐Ÿป๐Ÿ‘Œ๐Ÿป๐Ÿ‘Œ๐Ÿป๐Ÿ‘Œ๐Ÿป๐Ÿ‘Œ๐Ÿป๐Ÿ‘Œ๐Ÿป๐Ÿ‘Œ๐Ÿป๐Ÿ‘Œ๐Ÿป๐Ÿ‘Œ๐Ÿป๐Ÿ‘Œ๐Ÿป
 
hamisa amezaa na wanaume wanaweza kuprovide. wenzie na Ki akina mondi wameishia kwenye child support. Huyu dogo atapigwa mgawanyo wa mali na ataondoka Tz na fuko la shangazi kaja pekee.

kolabo kubwa kuliko zote duniani ni kati ya shetani na mwanamke. Kolabo hili lilianzia pale bustanini, hata sasa linatugharimu!
 
Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ

Huyu dogo mpira ukianza kumtupa atachukua nyundo abonde kende zake๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„maana amefanya kituko cha dunia.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒVijana mkiwa mnajitafuta msisahau kula maisha ili kupata experience.Hii itawasaidia kujiepusha na fedheha ndogondogo.Hivi mwanaume unashindwa nini kujiuliza iweje wenzako wamepiga na kusepa alafu wewe ndo unaweka kituo??!!!

Kwa niaba ya CHAMA LA WANA "KATAA NDOA".TUNALAANI VIKALI TUKIO HILO NA KUKEMEA VIJANA KUTOJIHUSISHA NA MASINGO MAZA KULINDA HESHIMA NA UTU WAO KAMA VIJANA WADOGO.
Yes angesambaza kila kituo cha watoto yatima ng'ombe mmoja na mchele kilo 200! Hakika angebarikiwa sana kwenye safari yake ya Soka.
 
Back
Top Bottom