Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Labda walikua wanamfukuzia AzizNaona wanaume wenzangu mmeona wivu Hamisa mobeto kuolewa ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda walikua wanamfukuzia AzizNaona wanaume wenzangu mmeona wivu Hamisa mobeto kuolewa ๐
Wanamfukuzia Aziz au Hamisa? Huu ni wivu tu mleta mada hawezi kumfukuzia hamisa labda afukuzie wadada wa mtaani kwake๐Labda walikua wanamfukuzia Aziz
HakyananiLabda walikua wanamfukuzia Aziz
๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ปTumekuja na tunatamba mwenzetu kuolewa.
Yaani watu wana oana unapata hasira hadi unafungua uzi? upo timamu kweli?๐Na wewe kwanini unaumizwa na sisi kukosoa ulimbukeni wa Ki.
hamisa amezaa na wanaume wanaweza kuprovide. wenzie na Ki akina mondi wameishia kwenye child support. Huyu dogo atapigwa mgawanyo wa mali na ataondoka Tz na fuko la shangazi kaja pekee.
Yes angesambaza kila kituo cha watoto yatima ng'ombe mmoja na mchele kilo 200! Hakika angebarikiwa sana kwenye safari yake ya Soka.Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent๐ฃ๐ฃ๐ฃ๐ฃ
Huyu dogo mpira ukianza kumtupa atachukua nyundo abonde kende zake๐๐๐maana amefanya kituko cha dunia.
๐๐๐Vijana mkiwa mnajitafuta msisahau kula maisha ili kupata experience.Hii itawasaidia kujiepusha na fedheha ndogondogo.Hivi mwanaume unashindwa nini kujiuliza iweje wenzako wamepiga na kusepa alafu wewe ndo unaweka kituo??!!!
Kwa niaba ya CHAMA LA WANA "KATAA NDOA".TUNALAANI VIKALI TUKIO HILO NA KUKEMEA VIJANA KUTOJIHUSISHA NA MASINGO MAZA KULINDA HESHIMA NA UTU WAO KAMA VIJANA WADOGO.