Binafsi nilikuwa nimeajiriwa na nilifanya kaz miaka miwil,na mwanzo sikupenda kuajiriwa lakini kutokana na ukosefu wa mtaji ilinilazimu kuajiriwa,baadaye nikapata wazo la kuacha kaz na nikaandaa mazingira ya kuacha kaz il nijiajiri lakini kwa sharti ya ile pesa niliyokuwa nalipwa kwa mwez niwe naipata,nakiri nilifanikiwa na hadi sasa naishi tu poa nna maisha yangu na nipo huru kwenda popote,au kufunga ofisi au kufungua muda wowote na nimemchukua mdogo wangu kwa usaidizi,angalizo biashara yoyote ni kuijua kwanza au kujifunza kwa vitendo,kuwa na jina au kufahamika kwa Watu japo hili linategemea aina ya biashara,uvumilivu,udadidis,hekima na kauli nzuri kibiashara na pia kuwa tayar kwa hasara