Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Nilikua sijui hii context aisee!! Mimi najua bid tu. Hii context inakuaje? Kazi zake nazipatia wapi au kazi zake wanalist kama bid?
click button ya work then chagua browse contests utaziona, kwa sasa nadeal sana na freelancer zaid ya fiverr maana uwa kule naweza pata kazi moja au mbili kwa mwezi tofauti na freelancer kuna sometimes nakuwaga na kazi nyingi mpaka sikubari task ninayopewa.
 
Tuko hapa kusaidiana, feel free kupost swali... Naiman majibu yatapatikana. [emoji120][emoji120][emoji120]
Safi sana mkuu, hizi mambo zinanifanya nakaaga ndani uwa ninatoka jioni kufanya manunuzi kiasi kwamba jirnai na watu uwa wanashindwa kunielewa ningekuwa mtu wa kutoka usiku wangeshanisema mimi jambazi.
 
Duuuh acha tu mkuu!! Huku kwetu jiwe kabana ni lazima tutafute ustaarabu mwingine maana mpaka aje kutoka madarakan si leo!! Tupambane kitaeleweka tu!!
 
Duuuh acha tu mkuu!! Huku kwetu jiwe kabana ni lazima tutafute ustaarabu mwingine maana mpaka aje kutoka madarakan si leo!! Tupambane kitaeleweka tu!!
Kabisa mkuu ni mtu kuinvest muda na kuamua kila kitu kinawezekana, nimeanza kuandika contents huku hata sijui zinaandikwaje ila kwa sasa hazinisumbui maana kwanza nishakuwa na vitendea kazi nina extensions na plugins za gram\mer, punctuations, platforms za kurecheck plagiarism, na mambo mengine.
ela nyingi ninaipata kwenye kaundika contents ndizo kazi ninazopenda kubid zaid maana zinakuwa za muda mrefu na zinanifanya iwe rahisi kuweka malengo unaweza weka malengo kwamba kila week unataka utengeneze kiasi kadhaa.
 
Hii nzuri sana ngoja nijaribu
 
Lakini mkuu hizi kazi kuzifanya ni mpaka uwe na PC au hata smartphone unaweza?
 
Nimejaribu kuicheck lkn wananiambia natakiwa kufanya English test kabla ya kuplace bid. Is that how it works in freelancer?
Katika research yangu niliyofanya.... Freelancer. com kuna kitu wanakiita test, na hii sio ya language tu mfano wewe unataka kufanya projects za kihandisi kuna test za area unayotaka kufanyia kazi unaweza omba na kulipia ufanye na ukifaulu basi unawekewa kwenye profile yako na marks zako.

Ila sio lazima ufanya japo inakuongezea credit kwa employers.
 
Nimejaribu kuicheck lkn wananiambia natakiwa kufanya English test kabla ya kuplace bid. Is that how it works in freelancer?
kufanya test kunakuongezea thamani sijawahi fanya test kwenye platform ya freelancer ila fiverr nimefanya test nyingi za kingereza na computer skills ila ambazo hazilipiwi ndizo nimefanya
 
On average per month unatengeneza pesa kiasi gani mkuu(just estimations tu mkuu).
 
na kama huna account ya bank unalipwaje na jee hii freelancer inazngatia nini kuifanya or mpaka ufanye registration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…