Naomba maelezo kidogo kuhusu hiiKuna trancription platform nilijiunga wanalipa vizuri karibia $3 kwa nusu dakika lakini kila mara nilikuwa ninahenyeka maana jinsi watu wanavyozungumza ninashindwa kungámua maneno mengi wanayoongea.
Na pia kuna format maalumu ya kutumia kutranscribe ilikuwa inanitoa knockout file moja nahangaika nalo mpaka akili inasizi. nilifanya kazi mwezi tu nika quit ila kwa mtu anayeweza kule rahisi kutengeneza ela maana kwa siku anaweza transcribe hata audios zake 10-15 akaondoka na $30-50
bongo nyoso sana, hutaona mguu wangu hukoCheki ajiras.com ipo kama fiverr, ndo imeingia sokoni jumatatu
bongo nyoso sana, hutaona mguu wangu huko
issue sio platform uzuri wake, issue client wa kibongo jauHaya bwana. Lakini hii ni kazi iliyotengenezwa na mtanzania mwenzio. Ingekuwa vizuri kama ungeangalia na kutoa maoni sehemu unayoona kuna tatizo ili ifike level unayotaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimejukuta nacheka kwa nguvu..Iiiiisshh hapo kwenye PC ndo ma gape yanaanzia
Mkuu kwnza Nikushukuru sana kwa kushea nasi fursa hii kwa vijana, hakika watu wengi tumepata kitu.Mkuu ni unafanya kazi kweli siyo kwamba ela unapewa tu sasa kwa simu ni ngumu kufanya kazi nyingi bora hata tablet.
Hahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimejukuta nacheka kwa nguvu..
Jipange tu ununue hata used ya kuanzia
Inategemea ni client gani na ni kazi gani amekupa kuna kazi mtu anakupa ufanye labda ndani ya masaa au siku kadhaa ukimaliza mnalipanaa mnamaliza. Kuna kazi ni endelevu labda kila siku lazima ufanye so inategemeaMkuu kwnza Nikushukuru sana kwa kushea nasi fursa hii kwa vijana, hakika watu wengi tumepata kitu.
Mm naomba niulize hizo kazi vp zina muda maalumu au unachagua mwenyew muda wa kufanya? vp kuhusu deadlines
Kwa muajiriwa anayefanya kazi ya kuajiriwa anaeza fanya hii freelancing? mana hawa wadosi wanatukamua balaa
Tatizo sio kwa kuwa ni mtanzania....tatizo watz hatupendani! Utakuta huko wanaminya saaana bhana!!Haya bwana. Lakini hii ni kazi iliyotengenezwa na mtanzania mwenzio. Ingekuwa vizuri kama ungeangalia na kutoa maoni sehemu unayoona kuna tatizo ili ifike level unayotaka.
Vip kaka hiyo unayoisemea ikoje!!!?Kuna hii ya bongo imeanzishwa, ikichanya hii itakuwa [emoji91] ajiras.com
Inategemea ni client gani na ni kazi gani amekupa kuna kazi mtu anakupa ufanye labda ndani ya masaa au siku kadhaa ukimaliza mnalipanaa mnamaliza. Kuna kazi ni endelevu labda kila siku lazima ufanye so inategemea
Umeona eee! Wanabana sanaissue sio platform uzuri wake, issue client wa kibongo jau
Kaka habar, nimekwama aisee kukamilisha profile yangu kwenye freelancer! Msaada plz....najaza nini pale kwenye about lakin pia naomba muongozo pale kwenye payments kwenye cardholder name najaza nini na hata card ID ndo namba ya benk au? Plz nimeshindwa kubid kisa sijamaliza profile.kulipa sana, kulipa kiasi na utapeli sio platform , ni mtu mwenyewe binafsi, nna mda sasa natumia freelancer(ndio maskani),guru na upwork, kote scammers wapo ni wewe mwenyewe kuweza kusoma mazingira
tulia tengeneza profile, sehemu nyingi unajaza wasifu wa kitaaluma ambayo unao. kwenye payment mi nime link na paypal (japo siitumii maana haikubali kwa tz) ila salio na draw kwa SkrillKaka habar, nimekwama aisee kukamilisha profile yangu kwenye freelancer! Msaada plz....najaza nini pale kwenye about lakin pia naomba muongozo pale kwenye payments kwenye cardholder name najaza nini na hata card ID ndo namba ya benk au? Plz nimeshindwa kubid kisa sijamaliza profile.
Drill ndo unafanyaje?tulia tengeneza profile, sehemu nyingi unajaza wasifu wa kitaaluma ambayo unao. kwenye payment mi nime link na paypal (japo siitumii maana haikubali kwa tz) ila salio na draw kwa Skrill
tulia tengeneza profile, sehemu nyingi unajaza wasifu wa kitaaluma ambayo unao. kwenye payment mi nime link na paypal (japo siitumii maana haikubali kwa tz) ila salio na draw kwa Skrill