Naomba maelezo kidogo kuhusu hiiKuna trancription platform nilijiunga wanalipa vizuri karibia $3 kwa nusu dakika lakini kila mara nilikuwa ninahenyeka maana jinsi watu wanavyozungumza ninashindwa kungámua maneno mengi wanayoongea.
Na pia kuna format maalumu ya kutumia kutranscribe ilikuwa inanitoa knockout file moja nahangaika nalo mpaka akili inasizi. nilifanya kazi mwezi tu nika quit ila kwa mtu anayeweza kule rahisi kutengeneza ela maana kwa siku anaweza transcribe hata audios zake 10-15 akaondoka na $30-50