Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Kuna trancription platform nilijiunga wanalipa vizuri karibia $3 kwa nusu dakika lakini kila mara nilikuwa ninahenyeka maana jinsi watu wanavyozungumza ninashindwa kungámua maneno mengi wanayoongea.
Na pia kuna format maalumu ya kutumia kutranscribe ilikuwa inanitoa knockout file moja nahangaika nalo mpaka akili inasizi. nilifanya kazi mwezi tu nika quit ila kwa mtu anayeweza kule rahisi kutengeneza ela maana kwa siku anaweza transcribe hata audios zake 10-15 akaondoka na $30-50
Naomba maelezo kidogo kuhusu hii
 
bongo nyoso sana, hutaona mguu wangu huko

Haya bwana. Lakini hii ni kazi iliyotengenezwa na mtanzania mwenzio. Ingekuwa vizuri kama ungeangalia na kutoa maoni sehemu unayoona kuna tatizo ili ifike level unayotaka.
 
Mimi mwaka jana mwanzoni ndio niliingia flerancer nikiwa Form Five. Kazi ya kwanza nilipewa na muitalia asee. Yule mama sikumwelewa anataka nini. Duh! Hadi tukaenda Dispute Board kugombania malipo. Dah! Kwa kuwa nina miaka 19 nikaona niwe mdogo nikamwachia akanipa Dola 10. Nikaachana na freelancer ili nisome naamini mwaka huu nitarudi kwa nguvu. Maana nina 21 yrs na lugha inapanda hadi natafuta mtu wa kumwambia.

I will make it pronto hand it to me deadline will be my point of no return.
 
Haya bwana. Lakini hii ni kazi iliyotengenezwa na mtanzania mwenzio. Ingekuwa vizuri kama ungeangalia na kutoa maoni sehemu unayoona kuna tatizo ili ifike level unayotaka.
issue sio platform uzuri wake, issue client wa kibongo jau
 
Mkuu m nna swal moja kuhusu freelancer nimeingia nimejisali lkn kwenye usajili wamekata kias flan kwenye account wakt na verify means of payment bado kweny ku contest saiv tena naona wanataka wakate hela nyngne tena iv inakuaje
 
Mkuu ni unafanya kazi kweli siyo kwamba ela unapewa tu sasa kwa simu ni ngumu kufanya kazi nyingi bora hata tablet.
Mkuu kwnza Nikushukuru sana kwa kushea nasi fursa hii kwa vijana, hakika watu wengi tumepata kitu.

Mm naomba niulize hizo kazi vp zina muda maalumu au unachagua mwenyew muda wa kufanya? vp kuhusu deadlines

Kwa muajiriwa anayefanya kazi ya kuajiriwa anaeza fanya hii freelancing? mana hawa wadosi wanatukamua balaa
 
Inategemea ni client gani na ni kazi gani amekupa kuna kazi mtu anakupa ufanye labda ndani ya masaa au siku kadhaa ukimaliza mnalipanaa mnamaliza. Kuna kazi ni endelevu labda kila siku lazima ufanye so inategemea
 
Haya bwana. Lakini hii ni kazi iliyotengenezwa na mtanzania mwenzio. Ingekuwa vizuri kama ungeangalia na kutoa maoni sehemu unayoona kuna tatizo ili ifike level unayotaka.
Tatizo sio kwa kuwa ni mtanzania....tatizo watz hatupendani! Utakuta huko wanaminya saaana bhana!!
 
Inategemea ni client gani na ni kazi gani amekupa kuna kazi mtu anakupa ufanye labda ndani ya masaa au siku kadhaa ukimaliza mnalipanaa mnamaliza. Kuna kazi ni endelevu labda kila siku lazima ufanye so inategemea

Sorry, nimeingia kwenye freelancer tatizo ni hili; nikibid wananirudisha nyuma kuwa bado nikamilishe plofile then nikiweka picha naambiwa haifiti hafu lingine kuna sehem kuna neno about so nimepewe niandike sth pameandikwa neno "edit summary" chini yake kuna 1000 ukiandika sth maneno yanahesabika as you are writing a text..... Je, hapo naandika nini? Je, kwenye namna ya malipo kuna credt card and PayPal nachagua ipi?, na pale kwenye cardholder name naandika jina langu lilivyoandikwa kwenye kadi ya benk au naandika nin? Na vip kuhusu number ya bank naandika wapi? Samahan kwa usumbufu kaka
 
kulipa sana, kulipa kiasi na utapeli sio platform , ni mtu mwenyewe binafsi, nna mda sasa natumia freelancer(ndio maskani),guru na upwork, kote scammers wapo ni wewe mwenyewe kuweza kusoma mazingira
Kaka habar, nimekwama aisee kukamilisha profile yangu kwenye freelancer! Msaada plz....najaza nini pale kwenye about lakin pia naomba muongozo pale kwenye payments kwenye cardholder name najaza nini na hata card ID ndo namba ya benk au? Plz nimeshindwa kubid kisa sijamaliza profile.
 
tulia tengeneza profile, sehemu nyingi unajaza wasifu wa kitaaluma ambayo unao. kwenye payment mi nime link na paypal (japo siitumii maana haikubali kwa tz) ila salio na draw kwa Skrill
 
Nimeanza kwa kubid 2 projects ingawa bado wanataka ni verify VISA card yangu...nimempata employer mmoja ametaka nimtumie email..nimechomoa
 
Back
Top Bottom