Labda sikuzote tunapenda kuongea kwa kuwatolea mfano wenzetu na kuacha nafsi zetu. Nasema hivi njia pekee ya kutimiza ndoto zako ni kujiajiri mwenyewe, ninaposema kujiajiri simaanishi uwenakitu kimoja. Katika pitapita yangu leo nimepitia baadhi ya thread humu za wanajamii wakiomba kazi wengine wakikata tamaa ni kweli inauma haswa ukiwa umesoma na pia unaweza ona wwewe unahali ngumu lakin wenzio wanahali ngumu zaidi yako.
Binafsi mpaka nimeandika thread hii nimeumia sana kuona watu wanatafuta ajira kiasi ambacho mtuhajui afanyeje.
Mimi nimemaliza chuo na sijapata ajira ya serikalini nimejiajiri mwenyewe it is true kwamba hujui unatoke katika njia ipi kufikia mafanikio....njia iliyo kuwa usoni mwangu nikupata angalau kitu cha kufanya nijipatie kipato. Sikuwaza mtaji mkubwa kwakuwa sikuwa na mtaji hata kidogo, niliwaza kupata kazi ya kufanya. Nilikutana na rafiki yangu aliyenipa fursa ya oriflame ni network marketing ndio, siwezi kuficha tangu nianze hii biashara nimeweza kubadilika kiakili na kimaisha nilikuwa nimekata tamaa, nilikuwa hata siwezi kuwaza kitu cha maendeleo.
Lakini sasa nimepata kupumua, napenda nichukue nafasi hii kuwakaribisha vijana either umeajiriwa unahitaji part time job au huna kazi kabisa karibu tufanye biashara na oriflame. Njoo ubadilishe mtazamo katika maisha, ukutane na watu tofauti wa professional tofauti ubadili hali yako. Huitaji ujuzi wowote utapata kufundishwa biashara kwa seminar na vitendo.
Ukiwa uko interest na oriflame network marketing inahusu beauty and cosmetics za kiume na kike, ili kuanza biashara yako leo wasiliana nami kwa
0717 343635
Kiukwel ninachokiona mbele ni fursa zaidi katika kujiajiri.