Mimi nilijiajiri...Lakini sitasahau hii miaka 4 ya JPM,yaani mpaka wife ananishauri nichukue mavyeti nianze kuomba kazi tena.Kazi yenyewe sijui utaomba wapi Taasisi na Kampuni zinafungwa kila uchwao.
Umefanyaje kufikia hapo na unapataja upato as evaluatorI'm now an EIA evaluator
Pambana kivingine, hata mimi niliyosoma siyo ninayoyafanya, elimu yetu bana dah!!!Kujiajiri sio lazima utumie hyo fani yako bali ni ubunifu wako tu wa kujifunza vitu mbalimbali.
Unaposema kujiajiri kwa kutumia hyo fani ni kwa kujipanga sana maana yake utahitajika usajili kampuni uwe contractor au consultant na kuanza kutafuta tender Kama unavyowaona contractors wa civil engineering.
Kwa hyo sio Jambo la mchezo mchezo kwamba umetoka chuo tu na kukurupuka.
Ina ugumu wake mkuu ni evaluator lakini nimefanya project mbili so kupata tender bado bado sijapata, hivyo nafanya mengineUmefanyaje kufikia hapo na unapataja upato as evaluator
Kweli boss wanguPambana kivingine, hata mimi niliyosoma siyo ninayoyafanya, elimu yetu bana dah!!!
hii lugha hii huwa inatabu kweli kweliI'm now an EIA evaluator
Freelancing kuna ushindani mkubwa ila ukifanikiwa kupata kazi ya kwanza tu, then kila kitu kita flow...
Nnashangaa sana watu wa IT wanazunguka na bahasha wakati huko nje kuna mapesa mengi tu ya programming, graphics nk...
Kuwa freelencer sio lazima iwe na degree au masters maana kuna watu fiverr wanapiga ela kwa kutafsiri english to swahili... Kitu ambacho hata mtu wa la saba anafanya!!
hapa nilipo kahawa ni nyingi tu, na kuna mzee nafahamiana naye anavibali hadi vya kusafirisha nje, nawza mtumia can you check me DM Tuyajengee mkuu
Hapo kujichekesha kwa boss nimecheka hadi mbavu[emoji23][emoji23][emoji23]Kuacha kazi ni jambo gumu sana, mtu umezoea kila mwisho wa mwezi pesa inaingia kwa uhakika, ila kiuhalisia kukomaa na ajira Ni ugonjwa wa akili kwa maana share holder wote hua hawatosheki na faida kila mwaka mnapo achieve budget kuna wapa alarm Kua kuna uwezekano wa kupata zaidi wataongeza budget, hii inafanya nguvu uliyoweka mwaka uliopita utahitaji kuweka hata mara mbili yake mwaka unaofuata na wakiona hufikii malengo wanawaza namna ya kukureplace wachukue nguvu mpya, kwa haraka haraka tulio ajiliwa tujiulize swali hili itakuaje kazi unayoipenda kweny maisha yako ikafika mahala ukaona umefika na huwezi kuacha kazi Ikatokea wenye kampuni wakaamua kufunga na kuamua ku invest kweny biashara nyingine utafanyaje? Au imetokea mkataba wako ghafla umekua terminated? Kuajiliwa kuna fanya unakua unanyenyekea sana, unajipendekeza sana inafika mahala boss wako ameongea hata kitu cha kawaida unajichekesha tuu, kama huo sio ugonjwa wa akili ni nin? Kua na elimu hakuna maana ufanye kazi za ofsini, maana yake ni kuweza ku survive katika mazingira yoyote yale kwa Kua mbunifu, unakuta mtu amemaliza chuo miaka zaidi ya 2 anahangaika tu na mabahasha hafanyi kazi hata ya karanga kisa yeye msomi akae ofsini tu na mpaka hela ya vitafunwa apewe na dada zake nyumbani huu sio ugonjwa wa akili? Vijana tufikirie kujiajili tuache kuumwa huu ugonjwa wa akili.
[emoji16][emoji16][emoji23]Hata mm nmegundua mkuu.
Yaani watu wa mtaani hawana presha kabisa ya maisha.
Nashangaa mm nimeacha kazi nikaingia mtaani halaf miez mitatu tu naanza kupata stress ya maisha.
Kiufupi walio makazini wanajifariji tu kuvaa T-shirts za makampuni siku za mei mosi lkn hawana maisha.