Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Gud....mwenyewe nafanya hiyo biashara ni nzuri kwa kweli...
 
Hongera hizi zinaonesha ni namna gani ulivyoweza kuthubutu..big up sana,usipoe katika kuikuza biashara yako.
 
Hongera kaka...ajira ngumu sasa hivi. Hv dagaa wa mwanza wa kukaanga na hao wap bora zaid?
 
Mkuu mimi ni mhanga mwenzio, mwenye degree ya ualimu udsm napigwa jua tuu mtaani hku, nipe ramani ya hyo fursa mkuu.
 
Sio kwamba Mwenyezi Mungu kakushika mkono, alishaga kushika toka enzi hizo, sema akili yako ilikua imefungwa.
 
mkuu dagaa wabich wa bukoba ndio wapi hao? napia naomba ufafanuzi wa bei plz
 
Safi sana kazana usichoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…