Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Binafsi nimeweka mkakati kuwa biashara yangu ikifikisha total income ninayopata kazini kwa mwaka nitakuwa tayari kuacha kazi. Kwa sasa nimeweka maximum time span ya kuendelea kuwepo kwenye ajira ni mwisho 2023. Hapo katikati naweza kuacha kazi siku yoyote ili mradi nimefikia lengo la Total Net Income from Employment =Total Business Cash Inflow with condition that net profit from the business should be greater or equal to Gross salary

Mbinu ninayotumia ni kuwa nishaweka malengo makubwa, kisha nimeyavunja yale malengo makubwa katika malengo madogo madogo ya kila mwaka. Kwa hiyo kila mwaka nimekuwa nikijifanyia tathmini kuangalia nimefikia wapi. Namshukuru Mwenyezi MUNGU ananifanyia wepesi na malengo yatafikiwa kwa neema yake
 
Mkuu umeongea point tupu, ila hiyo para ya mwisho ndio umeua kabisa....
 
Kiyosaki namkubali sana. Nimeshasoma kazi zake za Rich Dad, Poor Dad na Cash Flow Quadrant
 
Hongera mkuu. Umeniobgezea kitu flani
 
Hoja umeisuka na imekaa vizuri. Kwanza unajiwekea malengo bado ukiwa kazini, unaweza kuanzisha kamradi kogogo uangalie malipo yake, kama kanalipa ila usimamizi hapo jipe moyo na uwe huru kuhudumua mradi wako. Mimi nina kamradi kangu nasimamia kikamilifu na kanalipa. Niliacha kazi sasa nipo huru na nina amani akilini
 
Yeah kiko gud sana vko ktk series vinanipa nguvu ajabu!!!
 
Yeah kiko gud sana vko ktk series vinanipa nguvu ajabu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…