Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unalima tikiti mkuu?umechagua chaguo jema kila binadamu ana mwisho wke wa kufikiri kuna wengine wanafikiri tofauti japo kila kitu kinalipa ila fanya kile moyo wako unachokipenda
Kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti.Sioni mrejesho wa alieacha kazi toka uzi uanzishwe 2017.
vumilia kidogo ntakuja nao baada ya week moja mambo huku ni mengi unakosa muda wa kuandika andika jfSioni mrejesho wa alieacha kazi toka uzi uanzishwe 2017.
Hahaa inaonekana huu uzi ni wa kufarijiana tu...vumilia kidogo ntakuja nao baada ya week moja mambo huku ni mengi unakosa muda wa kuandika andika jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa kuna supplier mmoja tunamlipa mpaka billion 1.8 kila mweziFanyeni research ndogo tu, kama wewe umeajiliwa ktk kampuni au serikalini angalia suppleyer wenu kazi wanazofanya na ni pesa ngapi mnawalipa kwa mwezi, utaona private sector ndiyo masupplier wakubwa na pesa wanazolipwa ni nyingi sasa chukulia wewe ndiyo director wa hizo kampuni mfano: angalia supplier wa stationeries,cleaners, IT, transpotation nk. Kujiajili kuna lipa sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Safi sana issue ya makazi ni muhimu sana kuizingatia kuliko chochote then mengine yanafuatiaZiweke wazi hizo challenge....!
Mfano: Ni vyema kuchukua maamuzi ya kujiajiri, ukiwa tayari una mtaji wa Makazi mkononi.
Namaanisha ni vyema hali hiyo ikukute ukiwa tayari una Makazi yako binafsi...!!
Mkuu umesema kweli ili uwe huru Cha Kwanza usiwe kwenye nyumba ya kupanga.Ziweke wazi hizo challenge....!
Mfano: Ni vyema kuchukua maamuzi ya kujiajiri, ukiwa tayari una mtaji wa Makazi mkononi.
Namaanisha ni vyema hali hiyo ikukute ukiwa tayari una Makazi yako binafsi...!!
ACHENI KUTUTISHA TULIOPANGA!!!Mkuu umesema kweli ili uwe huru Cha Kwanza usiwe kwenye nyumba ya kupanga.
😂 😂 😂 😂Kuacha kazi kama wewe ni kichwa panzi ni sawa na kunyea kitanda unacholaliaga.
Sio kukutisha mkuu huo ndio ukweli.ACHENI KUTUTISHA TULIOPANGA!!!
Unachosema ni sahihi ila fikiria umefukuzwa kazi bila kujiandaa........ Utafanya nini?Muhimu ni mtaji kwanza kabla ya kuacha kazi husika