Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

umechagua chaguo jema kila binadamu ana mwisho wke wa kufikiri kuna wengine wanafikiri tofauti japo kila kitu kinalipa ila fanya kile moyo wako unachokipenda
Bado unalima tikiti mkuu?
Unalimia mkoa gani?
 
Fanyeni research ndogo tu, kama wewe umeajiliwa ktk kampuni au serikalini angalia suppleyer wenu kazi wanazofanya na ni pesa ngapi mnawalipa kwa mwezi, utaona private sector ndiyo masupplier wakubwa na pesa wanazolipwa ni nyingi sasa chukulia wewe ndiyo director wa hizo kampuni mfano: angalia supplier wa stationeries,cleaners, IT, transpotation nk. Kujiajili kuna lipa sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acha kabisa kuna supplier mmoja tunamlipa mpaka billion 1.8 kila mwezi
 
Ziweke wazi hizo challenge....!
Mfano: Ni vyema kuchukua maamuzi ya kujiajiri, ukiwa tayari una mtaji wa Makazi mkononi.
Namaanisha ni vyema hali hiyo ikukute ukiwa tayari una Makazi yako binafsi...!!
Mkuu umesema kweli ili uwe huru Cha Kwanza usiwe kwenye nyumba ya kupanga.
 
Kuacha kazi kama wewe ni kichwa panzi ni sawa na kunyea kitanda unacholaliaga.
 
inategemeana na aina ya ajira, kuna ajira zingine nibora ujiajiri pia kuna kujiajiri kwingine ni bora uajiriwe.
kama upolisi, unesi, ualimu, ubwana shamba nk kama huna-passion navyo ni bora ujiajiri vinginevyo kuwa na maisha mazuri ni sawa na kutembea mitaani kutafuta ela ya kuokota.
 
Kabla sijaacha kazi nilikuja humu nikapata ushauri nikaacha na pale nilipopata magumu pia nilikuja humu humu nikapa ushauri siku zikasonga, kabla ujaamua kuacha kazi kwanza jijenge kisaikolojia kwanza maana itakuchukua zaidi ya mwaka kukaa sawa, unaweza ukawa na hela na usijue nini cha kufanya
 
Back
Top Bottom