Vijana watajitokeza kwa wingi sana kumpigia kura Rais Samia uchaguzi Ujao, Ni uchaguzi utakaoweka Historia ya vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

Vijana watajitokeza kwa wingi sana....!!!
Translation...
Chawa watajitokeza kwa wingi sana
Kama kumuunga mkono mh Rais kutokana na utendaji kazi wake wa kuridhisha Ni uchawa Basi mamilioni ya vijana wa kitanzania Ni chawa wa mama maana wanamuunga mkono Ni Haijapata kutokea
 
Una uhakika atagombea?
 
Chawa
 
🤣🤣🤣🤣🤣 nchi ina vituko hii.
 
Ahaaa fanya utafiti kidogo tu “logic”:
95% wa vijana elimu yao duni
95% hawapati malezi mazuri na lishe
Implication;
Low IQ
Mind retardation

Matokeo ni nini? You rule their minds
 
Ahaaa fanya utafiti kidogo tu “logic”:
95% wa vijana elimu yao duni
95% hawapati malezi mazuri na lishe
Implication;
Low IQ
Mind retardation

Matokeo ni nini? You rule their minds
Laiti ungejuwa namna vijana wanavyopambana kiuchumi Wala usingesema hayo uliyoandika hapa
 
Laiti ungekuwa usingekuwa kama MH Kess na ndungai. Well sio mbaya piga upatu.
 

Kumbe nishazeeka, kweli sikujua
 
Mimi naamini hakuna mgao ili linakuwa Kuna matengenezo madogo madogo, Niliko umeme upo muda mwingi Sana japo ni mkoani

Matengenezo madogo madogo zaidi ya miezi mitatu! Uza ubongo huo bro, maana hizo hela za propaganda zinakuchoresha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…