Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Kuna Watu wajinga Sana. Kwa hiyo Kwa Akili zako za kunguni unafikiri Bikra ndio kila kitu ndani ya Ndoa?

Uzuzu ni kipaji.
Usipoikuta bikra huyo sio mkeo ni mke wa mtu mwingine hata kama ana vigezo vingine vya wife material
 
Mwanaume anatoa nafsi si kupokea sawa na mwanamke na ndio maana mwanaume anaweza oa wake wanne na wote akawalea sawa lakn si mwanamke kuwa na wake wawili lazima atakua anamdharau mwingine hii ni nature dada ata biblia imeandika mwanamke bikra sio mwanaume bikra...
 
Wewe ni me au ke tuanzee hapo kwanza
 
Hujakutana na wanaume ambao maisha yameharibika kwa sababu ya uzinzi?? Kwahiyo kama mwanaume anapokea tu mbona huwa mnarogwa hadi mnasahau familia, visingekua vinaingia mngekua na kinga. Acheni ku quote biblia ili muhalalishe uzinzi
 
Uzi ulitakiwa uishie hapa.🤝
 
Jina lako liwekwe kwenye syllabus mpya .
Mimi tamfundisha mtoto wangu hili jambo.
Watoto wasifanye makosa tuliyofanya sisi
 
Kabisa
 
Kati ya Mwanamke na Mwanaume Nani anaalama ya Ubikira? Wewekama umeoa Kurumbembe jua huyo sio Mkeo. Hizo Kelele zingine hapa hazina maana
 
Hiyo Hana Akili hawezi kuelewa lolote kuhusu hizi ishu kwani alishaharibiwa kimwili na Kiakili
 
Kati ya Mwanamke na Mwanaume Nani anaalama ya Ubikira? Wewekama umeoa Kurumbembe jua huyo sio Mkeo. Hizo Kelele zingine hapa hazina maana
Mwanaume hujadili kwahoja sio matusi siunajua. Shaming tactics wanatumia wanawake, tumia hoja sio matusi. Unaweka facts, sio unaassumptions sawa chief. You attack the point(hoja) sio mtu, jua kujadili kama mtu mzima, sawa mkuu😂😂
 
Hoja ya kuoa kurumbembe unaita hoja?
 
Unataka kunitukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787], hujui kuchanganua maneno katika sentensi.
[emoji38][emoji38][emoji38] hapana mkuu nilitaka kujua kama me najua ulioa kitu ya mtu hutaki kukubali tu na kama ke najua unajiona uko sawa ila ukifuatikia matatizo mengi ya ndoa bro ni kutokana na wanawake wanakua na ma ex kibao ebu kufuatilia kama Kuna mwanamke ambae umemkoleza vizuri kitandani hata kama ameolewa bro ukitaka kurudi unahitaji jitihada ndogo tu xaxa wanasema ndoa inachangamoto xo kipindi ambacho uherewani na mwenzio inafikiri ex akitaka kurudi anatumia nguvu kubwa ni ngumu kumkosa mwanamke
 
Hujakutana na wanaume ambao maisha yameharibika kwa sababu ya uzinzi?? Kwahiyo kama mwanaume anapokea tu mbona huwa mnarogwa hadi mnasahau familia, visingekua vinaingia mngekua na kinga. Acheni ku quote biblia ili muhalalishe uzinzi
Dada wote tunaamini ni kweli kuzini na mwanamke Malaya ni laana ambayo wanaume yoyote akizini nae anaharibikiwa ila sio kibra dada... Kibra hata mia ni sawa coz bikra ni Baraka na mwanaume wote walioa bikra kufanikiwa ni rahisi Sana kwenye maisha coz bikra Ina nguvu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…