Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Kwanini umuongelee mwanamke tu?? Kwani mwanaume unvyotembea na wanawake 50 hujiwekei hayo maagano? Nyie kwenye ngono mmehalalishwa na nani kufanya na watu wengi? Mwanaume unavyotembea na wanawake wengi unajiunganisha nao kiroho vile vile msituchanganye
Mwanaume anatoa nafsi si kupokea sawa na mwanamke na ndio maana mwanaume anaweza oa wake wanne na wote akawalea sawa lakn si mwanamke kuwa na wake wawili lazima atakua anamdharau mwingine hii ni nature dada ata biblia imeandika mwanamke bikra sio mwanaume bikra...
 
This is pointless, wewe bikra tuwatoe wenyewe halafu tuje tuwalaumu. This is illogical, atokee mwanaume asiyelala na mwanamke hata mmoja maishani mwake ndio anaqualification za kudai hicho kitu. Otherwise its nonsense. Ngono ilikatazwa kwakila jinsia kabla ya ndoa kwaupande wa vitabu vya dini na kwenye mila na desturi zetu. Wewe ninani wakumuhukumu mwenzako. Let's be logical like real men, sio kuwa petty as children. Kama mmekosa pesa za kuwatunza wake zenu semeni otherwise this point is stupidity, leteni point zakueleweka kwanini hamtaki kuoa.
Wewe ni me au ke tuanzee hapo kwanza
 
Mwanaume anatoa nafsi si kupokea sawa na mwanamke na ndio maana mwanaume anaweza oa wake wanne na wote akawalea sawa lakn si mwanamke kuwa na wake wawili lazima atakua anamdharau mwingine hii ni nature dada ata biblia imeandika mwanamke bikra sio mwanaume bikra...
Hujakutana na wanaume ambao maisha yameharibika kwa sababu ya uzinzi?? Kwahiyo kama mwanaume anapokea tu mbona huwa mnarogwa hadi mnasahau familia, visingekua vinaingia mngekua na kinga. Acheni ku quote biblia ili muhalalishe uzinzi
 
Uzi ulitakiwa uishie hapa.🤝
 
Jina lako liwekwe kwenye syllabus mpya .
Mimi tamfundisha mtoto wangu hili jambo.
Watoto wasifanye makosa tuliyofanya sisi
 
Naweza nikasema hivi.Hili ndio tatizo Kubwa la wanawake wengi ambao walishatolewa bikra zao.
Wanawake ambao hawana Bikra hata ukiwa nae kwenye mahusiano ataanza kukulinganisha na yule aliyekuwa nae Mwanzo kwa kila kitu.
Unaweza ukafanya hivi yeye akaanza kuwa na vinyongo na hasira zisizo na maaana Huku akijisemea ya kuwa yule wa mwanzo alikuwa hamfanyii hivi.
Hiyo ndio changamoto Kubwa ya wanawake wengi wasio Kuwa na Bikra.Na hii hata kama Kuna wanawake wengine waiepuke sana hii tabia.

Ila wanawake ambao Wana bikra ni wanawake ambao kweli ukiwa nae anatulia na kukuheshimu hakuna mahala pa kukulinganisha na mtu Wala mavinyingo au mahasira ya Ovyo wanakuwa hawana.

Huo ni mtazamo wangu,na hata nikiwa kwenye mahusiano na mtu nikijua Fika sijamkta Bikra lazima niishi nae kwa tahadhari ikiwemo umakini Mkubwa wa kutambua tabia Zake vyema.Akianza dharau na kunilinganisha na atokako basi mapema sana namktaa.Ni heshima sana kumpata mwanamke na kukusikiliza siku zote na kukuheshimu hii ni nzuri sana.Ila Hawa wazoefu ni kweli Wana changamoto zao.

Kabisa
 
This is pointless, wewe bikra tuwatoe wenyewe halafu tuje tuwalaumu. This is illogical, atokee mwanaume asiyelala na mwanamke hata mmoja maishani mwake ndio anaqualification za kudai hicho kitu. Otherwise its nonsense. Ngono ilikatazwa kwakila jinsia kabla ya ndoa kwaupande wa vitabu vya dini na kwenye mila na desturi zetu. Wewe ninani wakumuhukumu mwenzako. Let's be logical like real men, sio kuwa petty as children. Kama mmekosa pesa za kuwatunza wake zenu semeni otherwise this point is stupidity, leteni point zakueleweka kwanini hamtaki kuoa.

Kati ya Mwanamke na Mwanaume Nani anaalama ya Ubikira? Wewekama umeoa Kurumbembe jua huyo sio Mkeo. Hizo Kelele zingine hapa hazina maana
 
Mwanaume anatoa nafsi si kupokea sawa na mwanamke na ndio maana mwanaume anaweza oa wake wanne na wote akawalea sawa lakn si mwanamke kuwa na wake wawili lazima atakua anamdharau mwingine hii ni nature dada ata biblia imeandika mwanamke bikra sio mwanaume bikra...

Hiyo Hana Akili hawezi kuelewa lolote kuhusu hizi ishu kwani alishaharibiwa kimwili na Kiakili
 
Kati ya Mwanamke na Mwanaume Nani anaalama ya Ubikira? Wewekama umeoa Kurumbembe jua huyo sio Mkeo. Hizo Kelele zingine hapa hazina maana
Mwanaume hujadili kwahoja sio matusi siunajua. Shaming tactics wanatumia wanawake, tumia hoja sio matusi. Unaweka facts, sio unaassumptions sawa chief. You attack the point(hoja) sio mtu, jua kujadili kama mtu mzima, sawa mkuu😂😂
 
Hoja ya kuoa kurumbembe unaita hoja?
 
Unataka kunitukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787], hujui kuchanganua maneno katika sentensi.
[emoji38][emoji38][emoji38] hapana mkuu nilitaka kujua kama me najua ulioa kitu ya mtu hutaki kukubali tu na kama ke najua unajiona uko sawa ila ukifuatikia matatizo mengi ya ndoa bro ni kutokana na wanawake wanakua na ma ex kibao ebu kufuatilia kama Kuna mwanamke ambae umemkoleza vizuri kitandani hata kama ameolewa bro ukitaka kurudi unahitaji jitihada ndogo tu xaxa wanasema ndoa inachangamoto xo kipindi ambacho uherewani na mwenzio inafikiri ex akitaka kurudi anatumia nguvu kubwa ni ngumu kumkosa mwanamke
 
Hujakutana na wanaume ambao maisha yameharibika kwa sababu ya uzinzi?? Kwahiyo kama mwanaume anapokea tu mbona huwa mnarogwa hadi mnasahau familia, visingekua vinaingia mngekua na kinga. Acheni ku quote biblia ili muhalalishe uzinzi
Dada wote tunaamini ni kweli kuzini na mwanamke Malaya ni laana ambayo wanaume yoyote akizini nae anaharibikiwa ila sio kibra dada... Kibra hata mia ni sawa coz bikra ni Baraka na mwanaume wote walioa bikra kufanikiwa ni rahisi Sana kwenye maisha coz bikra Ina nguvu....
 
Back
Top Bottom