Usipoikuta bikra huyo sio mkeo ni mke wa mtu mwingine hata kama ana vigezo vingine vya wife materialKuna Watu wajinga Sana. Kwa hiyo Kwa Akili zako za kunguni unafikiri Bikra ndio kila kitu ndani ya Ndoa?
Uzuzu ni kipaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipoikuta bikra huyo sio mkeo ni mke wa mtu mwingine hata kama ana vigezo vingine vya wife materialKuna Watu wajinga Sana. Kwa hiyo Kwa Akili zako za kunguni unafikiri Bikra ndio kila kitu ndani ya Ndoa?
Uzuzu ni kipaji.
SahihiNyie ndio mnatubakia watoto wadgo kuwa na fikra za vitu vya kizamn.
HhahahMbari✖️ Mbali✔️
Jifunze kuandika.
Ngoja nikuache na upumbavu wako.
Tutakua hatuoi sasa Kwa staili hii
Mwanaume anatoa nafsi si kupokea sawa na mwanamke na ndio maana mwanaume anaweza oa wake wanne na wote akawalea sawa lakn si mwanamke kuwa na wake wawili lazima atakua anamdharau mwingine hii ni nature dada ata biblia imeandika mwanamke bikra sio mwanaume bikra...Kwanini umuongelee mwanamke tu?? Kwani mwanaume unvyotembea na wanawake 50 hujiwekei hayo maagano? Nyie kwenye ngono mmehalalishwa na nani kufanya na watu wengi? Mwanaume unavyotembea na wanawake wengi unajiunganisha nao kiroho vile vile msituchanganye
Wewe ni me au ke tuanzee hapo kwanzaThis is pointless, wewe bikra tuwatoe wenyewe halafu tuje tuwalaumu. This is illogical, atokee mwanaume asiyelala na mwanamke hata mmoja maishani mwake ndio anaqualification za kudai hicho kitu. Otherwise its nonsense. Ngono ilikatazwa kwakila jinsia kabla ya ndoa kwaupande wa vitabu vya dini na kwenye mila na desturi zetu. Wewe ninani wakumuhukumu mwenzako. Let's be logical like real men, sio kuwa petty as children. Kama mmekosa pesa za kuwatunza wake zenu semeni otherwise this point is stupidity, leteni point zakueleweka kwanini hamtaki kuoa.
Hujakutana na wanaume ambao maisha yameharibika kwa sababu ya uzinzi?? Kwahiyo kama mwanaume anapokea tu mbona huwa mnarogwa hadi mnasahau familia, visingekua vinaingia mngekua na kinga. Acheni ku quote biblia ili muhalalishe uzinziMwanaume anatoa nafsi si kupokea sawa na mwanamke na ndio maana mwanaume anaweza oa wake wanne na wote akawalea sawa lakn si mwanamke kuwa na wake wawili lazima atakua anamdharau mwingine hii ni nature dada ata biblia imeandika mwanamke bikra sio mwanaume bikra...
Uzi ulitakiwa uishie hapa.🤝This is pointless, wewe bikra tuwatoe wenyewe halafu tuje tuwalaumu. This is illogical, atokee mwanaume asiyelala na mwanamke hata mmoja maishani mwake ndio anaqualification za kudai hicho kitu. Otherwise its nonsense. Ngono ilikatazwa kwakila jinsia kabla ya ndoa kwaupande wa vitabu vya dini na kwenye mila na desturi zetu. Wewe ninani wakumuhukumu mwenzako. Let's be logical like real men, sio kuwa petty as children. Kama mmekosa pesa za kuwatunza wake zenu semeni otherwise this point is stupidity, leteni point zakueleweka kwanini hamtaki kuoa.
Naweza nikasema hivi.Hili ndio tatizo Kubwa la wanawake wengi ambao walishatolewa bikra zao.
Wanawake ambao hawana Bikra hata ukiwa nae kwenye mahusiano ataanza kukulinganisha na yule aliyekuwa nae Mwanzo kwa kila kitu.
Unaweza ukafanya hivi yeye akaanza kuwa na vinyongo na hasira zisizo na maaana Huku akijisemea ya kuwa yule wa mwanzo alikuwa hamfanyii hivi.
Hiyo ndio changamoto Kubwa ya wanawake wengi wasio Kuwa na Bikra.Na hii hata kama Kuna wanawake wengine waiepuke sana hii tabia.
Ila wanawake ambao Wana bikra ni wanawake ambao kweli ukiwa nae anatulia na kukuheshimu hakuna mahala pa kukulinganisha na mtu Wala mavinyingo au mahasira ya Ovyo wanakuwa hawana.
Huo ni mtazamo wangu,na hata nikiwa kwenye mahusiano na mtu nikijua Fika sijamkta Bikra lazima niishi nae kwa tahadhari ikiwemo umakini Mkubwa wa kutambua tabia Zake vyema.Akianza dharau na kunilinganisha na atokako basi mapema sana namktaa.Ni heshima sana kumpata mwanamke na kukusikiliza siku zote na kukuheshimu hii ni nzuri sana.Ila Hawa wazoefu ni kweli Wana changamoto zao.
This is pointless, wewe bikra tuwatoe wenyewe halafu tuje tuwalaumu. This is illogical, atokee mwanaume asiyelala na mwanamke hata mmoja maishani mwake ndio anaqualification za kudai hicho kitu. Otherwise its nonsense. Ngono ilikatazwa kwakila jinsia kabla ya ndoa kwaupande wa vitabu vya dini na kwenye mila na desturi zetu. Wewe ninani wakumuhukumu mwenzako. Let's be logical like real men, sio kuwa petty as children. Kama mmekosa pesa za kuwatunza wake zenu semeni otherwise this point is stupidity, leteni point zakueleweka kwanini hamtaki kuoa.
Mwanaume anatoa nafsi si kupokea sawa na mwanamke na ndio maana mwanaume anaweza oa wake wanne na wote akawalea sawa lakn si mwanamke kuwa na wake wawili lazima atakua anamdharau mwingine hii ni nature dada ata biblia imeandika mwanamke bikra sio mwanaume bikra...
Unataka kunitukana🤣🤣🤣, hujui kuchanganua maneno katika sentensi.Wewe ni me au ke tuanzee hapo kwanza
Mwanaume hujadili kwahoja sio matusi siunajua. Shaming tactics wanatumia wanawake, tumia hoja sio matusi. Unaweka facts, sio unaassumptions sawa chief. You attack the point(hoja) sio mtu, jua kujadili kama mtu mzima, sawa mkuu😂😂Kati ya Mwanamke na Mwanaume Nani anaalama ya Ubikira? Wewekama umeoa Kurumbembe jua huyo sio Mkeo. Hizo Kelele zingine hapa hazina maana
Umri bado
Mwanaume hujadili kwahoja sio matusi siunajua. Shaming tactics wanatumia wanawake, tumia hoja sio matusi. Unaweka facts, sio unaassumptions sawa chief. You attack the point(hoja) sio mtu, jua kujadili kama mtu mzima, sawa mkuu😂😂
[emoji38][emoji38][emoji38] hapana mkuu nilitaka kujua kama me najua ulioa kitu ya mtu hutaki kukubali tu na kama ke najua unajiona uko sawa ila ukifuatikia matatizo mengi ya ndoa bro ni kutokana na wanawake wanakua na ma ex kibao ebu kufuatilia kama Kuna mwanamke ambae umemkoleza vizuri kitandani hata kama ameolewa bro ukitaka kurudi unahitaji jitihada ndogo tu xaxa wanasema ndoa inachangamoto xo kipindi ambacho uherewani na mwenzio inafikiri ex akitaka kurudi anatumia nguvu kubwa ni ngumu kumkosa mwanamkeUnataka kunitukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787], hujui kuchanganua maneno katika sentensi.
Dada wote tunaamini ni kweli kuzini na mwanamke Malaya ni laana ambayo wanaume yoyote akizini nae anaharibikiwa ila sio kibra dada... Kibra hata mia ni sawa coz bikra ni Baraka na mwanaume wote walioa bikra kufanikiwa ni rahisi Sana kwenye maisha coz bikra Ina nguvu....Hujakutana na wanaume ambao maisha yameharibika kwa sababu ya uzinzi?? Kwahiyo kama mwanaume anapokea tu mbona huwa mnarogwa hadi mnasahau familia, visingekua vinaingia mngekua na kinga. Acheni ku quote biblia ili muhalalishe uzinzi