Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Basi mpunguze kututupia zigo la lawama wadada. Unakuta mtu anavimba hapa na huko kala vitoto kibao alafu badae anakuja ooh nataka bikra, bikra hiyo itoke wapi? Wataendelea kupata wa kufanana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi kwenye swala la bikra siwezi mtupia lawama zote mwanamke.

Mwenye lawama hapa kubwa ni sisi wanaume, sababu mara nyingi wanaotolewa bikira bado wanakuwa wadogo hata kujitambua bado.
 
Wanawake mabikira utawakuta peponi tena 70 kwa idadi yao, kwa nn uhangaike kutafuta bikira mmoja tu ktk nchi ya Dr SSH?

Kama una wazimu endelea kusaka aliye bikira 😁😁
Mwenzako alishaoa bikra, endelea kusubiri mabikra 72 wa mbinguni.
 
Binafsi kwenye swala la bikra siwezi mtupia lawama zote mwanamke.

Mwenye lawama hapa kubwa ni sisi wanaume, sababu mara nyingi wanaotolewa bikira bado wanakuwa wadogo hata kujitambua bado.
Kama hajitambuhi huyo alikosa malezi mema na hafai kuwa mke, mbona kuna wasichana wamejitunza na hawakukubali kudanganywa kizembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…