GE2025 Vijana wazalendo waandaa mbao/mabango kwa ajili ya ujumbe kuelekea Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano

Your browser is not able to display this video.
 
Watazitumia kama kuni tarehe 29 saa sita mchana maana hakuna Nyumbu itatoka nje
 
Acha ujivini kuita wenzako wenye mtazamo tofauti na wako nyumbu.
We kama unataka kupiga kura utaenda upige, pia heshimu haki ya wanaoamua kiandamana
Mtu kama wewe unafikiri jina gani linakufaa tofauti na Nyumbu?
 
This time Watanzania hawataki Ujinga
 
This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano

View attachment 3489983
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…