Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Hapo nimekukubali mkuu,hayo Ndio maisha yasiyo na stress!
 
Asante kwa ukumbusho ila mtaan nako kugumu vijana tuna hustle hatuoni raman kqbsa
Vijana asilimia kubwa hamjitambui. Unapambana unapata ka elfu 15,000 kako kwa shida then unaenda bar kumfurahisha mrembo aliyekaa hajachomeka jua Wala nn kazi yake kaiweka mbususu safi tu alafu unataka utoboe life. Wakati huo huo kamari Yako, pombe Yako.
 
Hatari kwelikweli!
 
Tuache tule bata, hakujenga baba wakati mfuko wa cement sent 20 nihangaike mie sasa hivi mfuko unakaribia 20 elfu.
Nijenge nyumba ya nini, mimi niwe na nyumba na kobe awe na nini.
Pondamali kufa kwaja, nani alizikwa na mali zake🤣

Komenti hii ni kwa hisani ya BALIMI
 
Kiukweli hilo ndo tatzo letu kubwa ss vijana lkn kuna muda hv vtu havikwepeki shida n kuviendekeza sana
 
Ila tofauti ya life expectancy ya waafrika ni ndogo sana ukilinganisha na wenzetu kufika 90 ni kawaida sana na wao hawadhulumiwi pensions zao na wana raha mpaka wanazeeka kuliko waafrika
Pia kuna NYumba za wazee..wanatibiwa...msosi mzuri....bia,nyama nini.....mpaka hospice.....
 
Pia kuna NYumba za wazee..wanatibiwa...msosi mzuri....bia,nyama nini.....mpaka hospice.....
Kweli kabisa lakini pia ni hela walizofanya kazi miaka yote na serikali kuwajali
Sisi wazee wanafanya kazi hata kama ni kuuza ugoro ila akizeeka hapati msaada wowote

Hili ni tatizo la serikali na serikali ni sisi pamoja na Bunge linalotunga sheria

Hatuwezi kusema wao hivi na vile kwani sisi tunashindwa nini kuwa na maisha bora?

Kila leo tunasikia mambo mawili tu Wizi wa mali za Umma na ajali zisizoisha Sasa kila mwezi ajali mpaka nne na watu wanakufa tu
Hata hilo hatuwezi kudhibiti
Huku nilipo ajali kusikia ni madra yaani mpaka wafe watu ni chache sana
Hela za umma kuibiwa au wazee kukosa pensions zao ni aibu na haowezekani

Mimi mshahara wangu serikali inakata pension na muajiri wangu lazima aniwekee kiasi cha hela kila mwezi kwenye akiba yangu

Lazima tubadilike kwa kweli hakuna mchawi bali ni sisi wenyewe Mkuu
 
Zama sio zile tena..ushauri haupaswi kuwa ule tena..

Ila wachache wanaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…