Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

Mkuu pole sana huo ndio uanaume

Kwenye ndoa Kuna furaha,misiba,magonjwa nk yte Kwa yte ni kuvumilia panapovumilka ukiona huyawezi oa mwingine
 
Nawewe ni mtoto wa single mother?
 
Wana pointi sana ,SEMA kama hujaoa itabidi uwe Malaya wa kuruka ruka na Kila demu ,manake ugumu nao ni shida ,vinginevyo upige nyeto jambo ambalo pia ni taaabu.mimi Huwa nahisi Hawa ni mashoga
 
Unajifanya mzee wa busara sana kumbe kenge tuu
Na wewe ni wale wale kataa ndoa pumbavu kabsaa pambana na hali yako chakubanga wewe
 
Unajifanya mzee wa busara sana kumbe kenge tuu
Na wewe ni wale wale kataa ndoa pumbavu kabsaa pambana na hali yako chakubanga wewe
Have a great day big boss🙏🏻
 
Mimi ninadhani tuache ku deal na matokeo
Kwakua kukataa ndoa ni matokeo
Matokeo ya vitu vilivyo ndani ya ndoa
Tukumbushane kurudi kwenye tamaduni
Tukumbushane kurudi kwenye kila mmoja kutimiza wajibu

Yamkini ndoa yako ni nzuri
Ila ni nzuri kwakua wew na mkeo wote mnatimiza wajibu wenu kikamilifu



Sawa Mimi shoga. Mkuu turudi kwenye mada
 
Hakuna mtu aliyeharibikiwa na maisha kwa kuwa single/ bachelor ila kuna watu wengi tu wameharibikiwa na maisha kwa sababu ya ndoa

Kwa miaka hii ya sasa kijana yeyote mwenye akili timamu, maono ya mbali na mipango thabiti ya maisha yake katika jambo ambalo inabidi awe nalo makini sana au ikiwezekana aliepuke kabisa ni ndoa

Dunia ya kibepari hii na inazidi kuharibiwa na ufeminist nchi za magharibi na ulaya taasisi ya ndoa imeporomoka kwa kiwango cha kutisha, sio muda mrefu itafuatia Afrika huku nchi za asia kidogo zinawasaidia tamaduni zao.

Ndoa zilikuwa zamani sio zama hizi za utandawazi na haki sawa.
Oaneni mkaiongezee serikali mapato kwa kufungua kesi mahakamani za kudaiana talaka.

In current day and age, Marriage is totally outdated concept, save yourself and other soul from big pain.
 
Wanafata kanuni ya ndoa kila mmoja anatimiza wajibu wake
 
Wewe si unajidai kenge mpaka likukute utoke damu sikioni ndio utajua hujui. Mpango wa Mwenyenzi Mungu haukuwa kwa hizi ndoa za sasa hiki ni kiigizo na ni mfumo ulioandaliwa kuondoa nafasi ya mwanaume na nguvu ya mwanaume bado kidogo mtaelewa tuu.TUNZA KIBUNDA KATAA NDOA NI UTAPELI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…