Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #101
Chukulia mfano Toka mwanzo wasingeoana au wangekuwa mashoga na na tom boy vipi ungelizaliwa?Kuoa sio jambo la lazima , Ila ni muhimu
Binafsi sikatai ndoa wala sikubali ndoa. Maisha sio kuoa tu hayo mambo madogo Sana.
Kufa kupo tu na Kila mmoja na njia yake Wala haipaswi kuhofia kifo unaweza kufa hata unaenda bafuni kunyongaNasubiri wakuue tuone tutazika wapi
Ukweli ni upi kwenye thread zao?kwani
kwani wanaongea uongo?
Unahis kuoa ndio njia tu ya kuzaliana , vipi kuhusu hao mashoga waliopo kwenye ndoa ? , sioi ila na watoto na wanawake nipo nao sana ,sifikiri kama una hoja zaidi ya dhihaka tu.🤔Chukulia mfano Toka mwanzo wasingeoana au wangekuwa mashoga na na tom boy vipi ungelizaliwa?
Issue ni ninyi kuwaweka wanawake wote kwenye fungu Moja ni sawa na kusema wanaume wa dar hawana nguvu za kiume nkNdoa ni utapeli na wengi wenu humu mmetapeliwa na makasiriko yenu mnayaleta kwa team kataa ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo yako mkuu
Umewaza kuwa bila wazazi wako kuoana huenda isingekuwepo au ungekuwa mtoto wa mtaani pengine ungelizaliwa na kutupwa chooni?Ng'ombe, Nguruwe na Mbwa watabaki kuwa wanyama na mimi nitabaki kuwa mwanadamu.
Uanadamu sio ndoa
Ingekuwa ubinadamu ni ndoa watoto wnagekuwa wanazaliwa wakiwa wameoa.
Tofauti ipo kubwa tu hasa kimalezi kama hujaoa huwezi elewa!Kuzalisha ovyo ndio kuzalisha vp ? Kwani wewe ulie zaa na mwanamke mmoja na mimi nilizaa na wanawake watatu tofauti kuna tofauti gani unayohisi wewe umeyapatia maisha zaid?
Chukulia mfano Toka mwanzo wasingeoana au wangekuwa mashoga na na tom boy vipi ungelizaliwa?
Ilaaaa....... Sawa tu[emoji81][emoji81]Ukifa mkeo hatumuoi ilaaaaaaa [emoji38][emoji38][emoji38]
Issue ni ninyi kuwaweka wanawake wote kwenye fungu Moja ni sawa na kusema wanaume wa dar hawana nguvu za kiume nk
Ukweli ni kwamba process ya kuchagua mwenza wa maisha sio jambo rahisi kama mnavyofikiria unaweza ukawa nao Saba lkn mwisho wa siku hao wote ukiamua Sasa uoe ukapiga chini wote maana utaona hakuna anayekustahili kujenga nae familia!
Wengi wa vijana mnaendekeza ukisasa na physical appearance ya demu bila kuchunuza Kwa undani.
Matokeo yake unajibebea lolote kisa ni mzuri sana mrembo pia kasoma na WA mjini au mtoto wa boss fln hpo tegemea maumivu 98% !!!
Mwanamke anajua Kila kitu kuhusu mitandao ya kijamii wasap ana magroup ya wanawake feminist kibao utegemee furaha kwenye ndoa Yako?
Kwenye ukisasa hapo ndo mnaharibu na kuziona ndoa hazina maana Kwa Sasa sababu kuu kuendekeza ukisasaNi wapi iliandikwa kwamba usipooa hutopata mtoto.
Kinachopingwa kwenye ndoa ni vitendo vinavyofanywa kwenye ndoa za sasa.
Unafikiri ndoa za mababu zetu zilikuwa kama ndoa hizi za sasa.
Ndoa zimejaa usaliti wa kila namna, maradhi ni nje nje tena anayekupa ni mtu uliyemuamini.
KATAA NDOA ZA KISASA.
NDOA ZA KISASA NI UTAPELI.
NB:KAMA IMANI YAKO NI KWAMBA TUNAOZIKATAA NDOA NI
Nikabidhi mkeo masaa mawili
- Vibamia
- Hatuna nguvu za kiume
- Shoga
Atakupa Habari................
Kama ndoa ni jambo lazima MTU ataoa au kuolewa Ila mnapokwama nikutaka kila MTU aoe aliyakuwa sio lazima.
Hapa duniani kila MTU anamtazamo wake , mfano Mimi ntaoa na 35 yrs na sasa nina 26 yrs
Nina Ajira
Kibanda
Na ninaishi na ndugu zangu namsomesha nakidogo nashare na wazazi na siuoni huo umuhimu Wa kuoa kwangu .
So kila MTU ambaye hataki kuoa Hana PESA au ni shoga huo ni utoto na mawazo dunk
Kwanza kuoa ndo na ukioa kitu gani kitabadilika ?
Kwamba malezi yanakua na tofauti gani ? Mbona tunaona vibaka wa mali za uma na panya Road kibao wametokea familia za baba na mama ?Tofauti ipo kubwa tu hasa kimalezi kama hujaoa huwezi elewa!
Kama uwezo wangu ni mchicha wa jero iweje unilazimishe ninunue nyama Ili Hali uwezo huo Sina? Elewa hapa hatuzungumzii umasikini au kipato Cha mtu hapana tunazungumzia watu kataa ndoa.Huwa nawashangaa sana , wapo kama wana msongo wa mawazo , ukiwasikia huwa mpaka wanatukana kwa hasira kabisa , huwa hawana hoja zaidi ya matusi na kuita watu mashoga , alafu unakuta mtu kaoa ila yupo nyumba ya kupanga chumba kimoja na kijiko cha gesi kanajifanya kanajua kuhudumia mke ,mchicha wa 500 na vijisamaki uchwara, utawasikia wanaokataa ndoa wanakwepa majukumu ,ukiwauliza wana majukumu gani amabayo wanahisi mimi siyaweza wanaingia mitini[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kama uwezo wangu ni mchicha wa jero iweje unilazimishe ninunue nyama Ili Hali uwezo huo Sina? Elewa hapa hatuzungumzii umasikini au kipato Cha mtu hapana tunazungumzia watu kataa ndoa.Huwa nawashangaa sana , wapo kama wana msongo wa mawazo , ukiwasikia huwa mpaka wanatukana kwa hasira kabisa , huwa hawana hoja zaidi ya matusi na kuita watu mashoga , alafu unakuta mtu kaoa ila yupo nyumba ya kupanga chumba kimoja na kijiko cha gesi kanajifanya kanajua kuhudumia mke ,mchicha wa 500 na vijisamaki uchwara, utawasikia wanaokataa ndoa wanakwepa majukumu ,ukiwauliza wana majukumu gani amabayo wanahisi mimi siyaweza wanaingia mitini[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ndoa zinazopigwa ni hizi za kitapeli hasa kwa wanaume wapambanaji ,ndoa za cheti na kutiana saini ,then badae inatumika kukumaliza.Kama uwezo wangu ni mchicha wa jero iweje unilazimishe ninunue nyama Ili Hali uwezo huo Sina? Elewa hapa hatuzungumzii umasikini au kipato Cha mtu hapana tunazungumzia watu kataa ndoa.
Kuna jamaa Sasa miaka30 kapanga jirani Hana mke Hana mtoto lkn maisha yake una mhurumia Kodi tu kulipia ni mtihani hata wageni labda waje tofaut na wahuni wenzake ni hapana mala nyingi ana vizia msosi Kwa majirani.
Swala la uchumi ni la mtu binafsi haijarishi upo Kwa ndoa au upo single ugumu wa maisha upo palepale