Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

hata alikuwa anapenda kutembea na mke moja lakini alikuwa nao wawili,,,,

Labda hujaishi nchi hii, kikwete enzi zake kwa warembo ni kama tairi na rim, hatangazi ndoa zake hadharani, nadhani mke wake wa mwisho kuoa ni mtoto wa asas miaka ya 2009, kimya kimya

yasemekana ana wake wanne

 

Naona umeshindwa kuweka ushahidi wa hizo ndoa za hao watu

Maneno yako yamejaa Nadhani, Nahisi na ya kusikia.

Ushahidi wako ni umeweka post uliyosoma ya jamiiforums. Ambayo haina evidence pia. Maana post za jamiiforums mtu yoyote anazusha kitu na kuandika anachotaka

Zama hizi hakuna siri.. hii ni information era.

Mke halali huwezi kumficha ficha bila wambea kumjua na kupata ushahidi wa ndoa hiyo. Pia ndoa zina vyeti vya ndoa ambazo rekodi zinaenda bakwata , na Rita pia.. ukioa ndoa halali ya aina yoyote wafanyakazi wa hizo taasisi watajua tu wataona kwenye records
 
Mimi ni mkorintho ila naungana na mtoa madaa...haiwezkan mwanamke kupewa uhuru kiasi hicho...wenye viongoz wa dini huwa hawawapi wanawake nafac hata tu kuinjilisha madhabauin ila wao wanataka tuishi nao kwa uvumulivu..hyo ni uongo bhanaa..hatuwez kuizoea hyo sauti
 

Wanaofanyiwa hivyo ni wanaume mabwege.

Mwanaume kamili haegemei maamuzi ya mtu mwingine au kutoka upande mwingine sijui dini sijui nini.

Mwanamke anasumbua Fukuza!
 
Tatizo umejaza funza kichwani mwako anaozesha fuvu lote ilo
Muislamu bora tutamjua kwa matendo yake sio kma ulivosema ww
 
Dini ya kweli ni moja tu inoendana na matakwa ya mwili ya mwanadamu.
Haiwezekani uishi na mtu mpk kifo kikutenganishe wakati kiuhalisia haswaa iyo hali inakataa
Talaka zipo ili kukerebishana tabia
Adam aliumbiwa wanawake wangap?
 
Umenyimwa unyumba? una hasira sana, dini sio issue, siku hizi kama huna kitu usitegemee heshima kutoka kwa mkeo atakudharau tuu, pambana na hali yako
 
sio kila mtu anapenda kuweka mambo hadharani,,, huyo kikwete na membe ni ndugu wa karibu sana lakini wangapi wanajua ??

kuna watu si wa kuweka mambo wazi wazi, pia alioa enzi hizo za zamani sio kama sasa teknolojia ya habari hasa mitandaoni imekuwa kubwa sana
 
Ni ndoa za mchongo zenye sheria ambazo hazitekelezeki! Kwenye kiapo ni mpaka kifo hakuna kutengana, ama uwe na ushahidi watu wajue umechapiwa (ndiyo maana huwa yanaandaliwa mafumanizi).

Wakristo wengi wakigombana kwenye ndoa huona sheria za kikristo haziwezi kutatua matatizo yao wanaenda mahakamani kwenye sheria wanazoona ni za haki.

Baada ya kutengana huoa ama kuolewa upya kimchongo kitu ambacho ni kinyume kabisa na sheria za makanisa ya kikristo.

Sheria za kikristo ni wazi zina mapungufu makubwa sana.
 
Sio wakristo pekee hata mafarisayo enzi zile walimwendea Yesu wakitaka atoe maelezo kwamba ni halali mtu kumpa mkewe talaka kwa namna yoyote ile?

Yesu akajibu''Hamkusoma maandiko kwamba alichokiunganisha(ndoa)Mungu wanadamu asikitenganishe?Wakamuuliza tena ikiwa kwann Musa mbona aliruhusu talaka?Akawajibu akisema''KWASABABU YA MIOYO YENU MIGUMU''Musa aliamua kuruhusu lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo(kwamba hakukua na talaka)..

Na imeandikwa amwachae mkewe na kutembea na mwingine AZINI nae..Katika hali ya kimwili Mahakama YES! inaweza kuvunja ndoa lakini katika ulimwengu wa Kiroho(Nyie ni mwili mmoja)
 
suluhisho ni kuongeza mke maana biblia haijakataza.

Pia mwili moja si ndoa kama wengi walivyopotoshwa, mwili moja ni kitendo cha mwanaume kukutana na mwanamke kimwili, hata pale mwanaume na mwanamke wanapozini nje ya ndoa ni mwili moja huo.

Mungu kuumba mwanaume moja na mwanamke moja haihusiani na ndoa
 
Mimi na mume wangu wa kupuliza tulifunga pingu za hiari kwa disii na hatutaachana kamwe mpaka kifo kitutenganishe. Kwani nyie hamuwezi kuoa wenzi wenye chemistry kama mimi na hubby wangu mpaka mfikie hatua ya kuachana? Hapa mume wangu kaenda Dar kupeleka dagaa zetu mimi namsubiri hapa Kigoma na hii mimba yetu ya saba kwani tunataka kumpiku babu yangu Juma Njemba 😊😊😊
 
Na wala pia biblia haijaruhusu.Unaweza ongeza mke wa pili kumbe ndo unakanyaga mavi sasa
 
Mungu hapendezwi na kutalakiana.

Kama unaona kuna mapungufu ni busara zaidi ukaenda kusiko na mapungufu maana hayo unayoona ni mapingufu hayatarekebishwa kamwe.
Mvumilie mkeo hata kama ni kikojozi, jambazi muombee abadili tabia aliyonayo.
 
I am a Man and five years running out now without any external woman/girl sexual intercourse rather than my only wedding wife.

PROFITS:

  • Strong economy.
  • Free stressed from unexpectedly dependence of extended family.
  • Free zone from spiritual wars and winning powers e.g. (curs/witchcraft).
  • Stable age preservation by referring one ejaculation round is equal to 7 KM distance to the Man was doing self jogging.
  • Free from unnecessary enemies and ability to make better business/life decisions.
  • Self esteem owning sensitivity at any society.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mahakamani kuna ndoa kibao zinavunjwa za kila dini,hivyo sio wakristo pekee wasiamini sheria za dini yao
 
Sahii kabisa,
Na kesi za mahakamani kuvunjika ndoa za sisi wakristo ndo tunaongoza.

Mi nadhan kama mtu anajiona hawez kuvumilia mpk kifo

Ni Bora angefunga ya kiserikali TU,
Tena Kama inawezekana iwe ya mkataba.
ili mkizinguana mkamalizane kiserikali TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…