Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

Wengi wao wanafanya ile biashara ya kukodisha utamu
Tena ni rahisi kwao wanawake ni ngumu kumkuta mwanaume anajiuza kwa bongo.. Hayo ndo maumbile yao yeye anataka wafanane na wanaume πŸ˜‚πŸ˜‚Hao wanawake kutwa kujiremba huo mda wa kumka 11 alfajiri na kulala saa 8 usiku wataweza kweli
 
Ujasiriamali kama mama lishe...
 
Agreed 90%
 
Wapo kwenye vikoba na wachache wapo kwenye tigo pesa na miamala huko.
 
Kaka, msamiati 'KUDANGA' haujaja kwa bahati mbaya.
 

Huo ndo ukweli, unakuta mdada kapanga room ya maana tu na ukicheki biashara yake eti ni kuuza karanga, real!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…